Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Eti "hisia za mapenzi" mtoa habari hayuko serious.

Kibao kimegeuka sasa, hebu toa neno kidogo.
Sina neno zaidi ya kumtakia mrembo kifungo chema chenye baraka tele...na jamaa alale salama mahali pema peponi maana mzigo wa dhambi umebakia kwa demu.

Tatizo braza Yale mapenzi ya kuanzia sekondari huwa hayatoboagi chuoni 🤣🤣🤣
 
Sure....kinachotokea ni kua zile experience na scene alizoziona zinakaaa kwenye subconscious mind...kwahiyo the same scene ilitokea in real life ata tenda Kama ilivotokea kwenye movie..akijua ni mawazo yake yamemtuma Ivo.....ndio maana tunasema movie nyingi sio nzuri kwa watu..hasa watoto ambao ubongo wao Haina kitu inakua ni rahisi kumeza effects za movie Kama zilivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…