Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

unamtongoza msichana anakukatalia,
unamlazimisha na unampa ahadi tele na mapenzi motomoto. anakubali unamfunua na ku mvuruga utakavyo kisha unaanza kumletea za kuleta na kumuumiza! mara nyingine wacha wajitetee
 
Daaa masikini dogo mwenyewe alikuwa bado mshamba mshamba binti kamuwahisha kwenye hukumu. Mapenzi ya hivi ni ujinga sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…