Pre GE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi

Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
Watanganyika tunahitaji kuifukuzia mbali wazanzibari warudi kwao wakauane wenyewe kwa wenyewe maana ndio Jadi yao
 
Polis wao wana ofu yasje tokea kama nch jiran
Hao walikuwa na lengo lao la kuchafua taswira ya Rais na Serikali yake kwenye macho ya jumuia ya kimataifa na wamefanikiwa sana katika hilo. Inahitaji kuwa na akili kulielewa hili.
 
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi

Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
Huu ujinga huu, hapo imepigwa hela ndefu sana kusafirisha wana chadema... mama watammaliza wahuni.
 
Huyu awadh anafikiri watu wakichoka mln 8 tu wakingia
Road kama ataweza kuwazuia
Ohoo...

Ova
 
Watanganyika tunahitaji kuifukuzia mbali wazanzibari warudi kwao wakauane wenyewe kwa wenyewe maana ndio Jadi yao

Ndio jadi yaani lile jeshi la Tanganyika na wale wanajeshi mliowaleta kuuwa watu kwenye uchaguzi wa 2020 wote ni wazanzibari ??
 
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi

Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
Safi sana
 
Huyu awadh anafikiri watu wakichoka mln 8 tu wakingia
Road kama ataweza kuwazuia
Ohoo...

Ova

Watu gani ?? nyie ambao kamanda Sirro alipojamba , nyote mkakimbilia mivungu ya vitanda utafikiri panya
 
kenya itawqchkua miaka 10 uchumi wao kurudi kama zamani sabab utalii uli stop kabisa
 
Jeshi la Polisi mkumbuke mlipo wakamata wanachadema, mlituambia kuwa baadhi mmewakuta na makosa ya jinai na kosa la usafirishaji haramu wa watu! Sasa iweje mmewaachia bila masharti yoyote watuhumiwa hao! Hebu liwekeni sawa hilo.
 
Hahah daah.
Siasa za hofu hizi ccm sijui wataziacha lini?

Kwa hiyo ccm inadhani chadema itaitoa madarakani?
Heko kwa chadema basi.
 
Police CCM wazee wakuteka Teka ,hata ww mkuu c km upo salama sana hapo ulipo kuwa makiniii naooo..
 
..halafu huyo Polisi ni mtu wa Zanzibar lakini anatupangia Watanganyika mahali pa kwenda. Na huko kwao Zanzibar hawataki tukanyage.
Usihadaiwe na jina huyo Awadhi ni mtanganyika mwezenu ni mtu wa Tanga pole sana
 
Usiwabweteshe sana, Uzuri waliokamatwa na kuachiwa ni watu wazima, wao watatuambia hicho Polisi walichokificha.
 
Kwa namna jeshi la polisi linavyoendesha mambo yake kiuonevu, kunyanyasa, kukandamiza na kuumiza wananchi wasio na hatia kwa maelekezo wanayopewa na watawala (ccm) ipo siku wananchi watasema 'imetosha'
 
Habari za asubuhi wanajamvi.
Rostam Azizi amekuwa anajulikana kama "KING MAKERS "
Mitandao yote iliyowaangiza JK,na Lowasa mpaka alipokwenda CHADEMA nyuma yake ni Rostam Azizi.

Rostam Aziz amemuhakikishia Mama kuwa hakuna lolote mama atamaliza Muda wake mpaka 2030 kwa lengo la wao kuingiza mtu wao 2030.

Rostam anajinasibu kuwa na team ya chama tawala Iko upande wake ameratibu yeye mpaka Jasus kurudi Latin America na kuja kushika utendaji.

Tukumbuke pia Jasusi ni team Moja na Rostam,na Sophia Simba ambao walitengwa na mwendazake.

Team Lowasa ingalipo na inajivunia kushika uongozi wa chama na kuwadharau wastaafu ambao wanaonekana wana nguvu team msoga.
Ndo maana wamefanya fitna , Mosi kumuondoa Makonda uenezi,pili kuwaondoa Mapacha BUMBULI & MTAMA.

Kwa mbaali mabadiliko ya Jumba kuu Karibu na Saint Peter's Kanisani engineer ni huyo mbunge wa zamani Super Mogul ambaye Saa 💯 alikwenda naye ziara mbalimbali mintarafu ile ya kwa Poppe Fransisco Vatican.

Rais Samia, Rostam hana nguvu yoyote kumshinda Jakaya Mrisho kikwete.

Kikwete ni influencial figure kwa sasa ndani ya Chama na ndani ya Serikali.
Yeye mpaka sasa anakuwa the the remained most current outgoing president.

Mtindo wa kikwete ni WA kunyamaza kimyaaa kama hayupo, lakini kama tujuavyo kimyaa kina mshindo.

Jaribio la Mwisho la kuondoka kwa Kinana ni gumu kuliko mengine yote.
Kinana kwa sasa anakuwa mmoja ya watu ambao wanajua serikali vizuri na chama vizuri,ameshika nafasi nyeti wakati wa wa Marais wote, Nyerere, Mwinyi, Mkapa , kikwete, na wewe Mwenyewe.

Kinana sio mtu kuwa dumped kwa mtindo wa Job Yustin Ndugai.
Unahitaji zaidi mshikamano, kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu mwakani.

Rostam Azizi kwa Wakati huu hana lolote hana nguvu, ukumbuke this time (MABAKAMABAKA) na baadhi ya taasisi zinaenda kuwa neutral.
Wanasubiri wakati sahihi, ili wa sett tone sahihi.
Kama opossition watashinda ubunge na Urais itabaki kuwa hivyo no changes hakuna kubebwa mtu

Hawaridhiki na minada ya maliasili na rasilimali za Tanganyika kuuzwa kwa wajomba.
Kuwa makini na huyo Raia wa Tanzania/Iran.
ambaye watanzania hawamjui wala kumuona direct akishiriki siasa, lakini ndiye anayepiga NGOMA inayochezwa sasa nchini.

Nandagala one, kwa sasa Safarini Ukerewe.
 
Ooh tumekuelewa, kwahiyo wewe ni Team JK, umekuja kuwakandia team Rostam. Naona mnagombania cake ya Nchi yetu kwa speed kubwa kama Mali yenu binafsi.
 
Vyombo vya ulinz labda uwaulize maana atujui kwann imekuwa ivo uwenda kuna namna wameliona wao kwa usalama na angalizo au taadhar kwa kuzbt yasje tokea kama ya kenya
Hizo ni propaganda wao hawataki tu CHADEMA wafanye mikutano kwenye ngome ya Spika Tulia Akson.
 
Back
Top Bottom