Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Huu wimbo wa kusema Watanzania waoga sijui nani kautunga? Ni vigezo gani alitumia hadi akahitimisha kuwa tatizo la watanzania ni uoga?Hao maafande wanabahati kuwa watanzania ni waoga.Siku uoga ukiisha hakuna Cha ulinzi mkali Wala Nini.
Ni lini watanzania walidhamilia kufanya jambo lao kiukweli ila wakashindwa kwa kuogopa?