Pre GE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi

Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
 
Attachments

  • 2576007-d05126d2cf760a954dec3168c92d63a7.mp4
    8 MB
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi

Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
Kongole kwake....

Ukiwachekea nyani utavuna mabua.....

#Nchi Kwanza
 
Huku ni kujidanganya.

Population ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya, na vijana wa hii nchi ni wengi zaidi ya wale wa Kenya, hivyo wakati ukifika, Polisi hawataweza kudhibiti hilo vuguvugu.
Huo wakati hautofika...

Haukufika huko Mbeya....hautafika
 
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi

Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
[emoji7][emoji7]
 
Huku ni kujidanganya.

Population ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya, na vijana wa hii nchi ni wengi zaidi ya wale wa Kenya, hivyo wakati ukifika, Polisi hawataweza kudhibiti hilo vuguvugu.

Wasisahau kikokotoo cha CCM kinawasubiri wakistaafu.
Vijana wa Tanzania,ni Vijana wa Hovyoo,Walio chagua kuwa Machawa. Kama katiba inaruhusu,niende popote,Awadhi ni Nani aliye juu ya KATIBA?
 
Upumbavu tu sasa Magufuri yuko wapi???Na Samiah saa yake inawadia maana amezidisha upumbavu kuliko hata Mtangulizi wake.
Utoto huo....

Kazi ya Rais Samia ni kuendeleza amani na utulivu wa taifa hili....

Ni kwa njia hizohizo za kulilinda taifa basi marais 1000 wanaokuja WATAZITUMIA....

#Nchi Kwanza
 
Vijana wa Tanzania,ni Vijana wa Hovyoo,Walio chagua kuwa Machawa. Kama katiba inaruhusu,niende popote,Awadhi ni Nani aliye juu ya KATIBA?
Awadhi analinda madhara ya wewe kwenda popote na huku popote ukafanya LOLOTE.....
 
Back
Top Bottom