Pre GE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ovyo!! Kwa uchumi gani huo ulionao
 
Ovyo!! Kwa uchumi gani huo ulionao
Uchum wang nnayo kwa ajili ya watt wang na mm bnafs kwaiyo kwa upande wang siwez funga ofc yang et n kaandamane ntakuwa n mechanganyikiwa sana issue sera bora ya kumtowa mtz sehem ya gza na kumpeleka sehem ya nuru lakn syo hii kwenda kukimbzana alaf amna kitu inakuwa n matembz tu
 
Hizo ni propaganda wao hawataki tu CHADEMA wafanye mikutano kwenye ngome ya Spika Tulia Akson.
Ili chadema iwe na nguvu n kugowa mizz ya ccm na kuja na sera bora inayo endana na dunia ya sasa syo maandamano bdo aitosh mtaji mkubwa saiv n vjana ndyo weng je kama chama imeandaa sera gan ya kuendana na hii Gen z?
 
Sisi hatutaki sera za Gen Z,bali tunafuata misingi ya utu,haki na usawa kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 inavyotutaka tuwe.(Rejea ibara ya 3,7,12,13 na 14)
 
Sisi hatutaki sera za Gen Z,bali tunafuata misingi ya utu,haki na usawa kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 inavyotutaka tuwe.(Rejea ibara ya 3,7,12,13 na 14)
Je mm n mwanch wachn sana labda unaniambia ni kaandamane wakat huo unajua weng wetu n utoke ndy ule na katba ya nch weng atujui kwann usmpe mwananch elimu ya kuelewa na mwisho wa siku lazma aiamn wakomboz wanch hii n chadema lakn syo kwenda kumjaza sumu ya Rais uyu kafanya iv sjui vp kuleta uwasama na kutshia aman ya nch inaonekana kwanza kwamba watu wapo kwa masilai yao mapana
 
Kwani unalazimishwa kwenda kwenda kuandamana?Anayeandamana ni yule anayejitambua anafanya nini kwa ajili yake na jamii inayomzunguka.Na hiyo elimu ya kuandamana iko kwenye Katiba yetu pendwa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.Hakuna anayekulazimisha kuandamana.Hata usipoandamana hakuna mtu au chombo chochote cha Serikali kitachokufuatilia.Hivyo basi acha wale unaoona hawana kazi wakaandamane ili wale maandamano yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…