Ovyo!! Kwa uchumi gani huo ulionaoIssue syo population mjomba uelewa waiyo maandamano lakn chama pnzani wajue ss Watanzania atuitaji kukwamishana kweny shughuli zetu syo nfunge ofc yang kwa sababu kuna kuchomeana na kuibiana syo fair chadema wafanye siasa bora sera bora kwa kuwakombowa watanzania lakn hyo la Gen Z kama ya kenya no polis tuwachie kaz ss atutaki kupoteza uchumi wetu kwa vzaz zetu na tunaomba vyombo usika ipambane l love ❤️ chadema lakn syo kwa ili utaifa kwanza