MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Kule Iyunga shamba la Bibi, unaweza pata ata chips yai za Buku af fresh tu.City pub konyagi 15k local beer 2500 nilihama kiwanja chap nikahamia kakiwanja fulani kanaitwa clickkapo near iyunga kule local beer 3 alf 5
Pale City Pub wateja wengi ndio maana wana kiburi japo wengi wao ni wapita njia na matajiri wa Chunya wasipojiangalia watajifia kama wenzao Carnival.
Kuna Bar kama Mwamunyange, Nasoma, Mwailubi, Mbeya Pazuri, na Savoy pia inakuja kwa kasi zina misosi affordable sana af classic 🔥. Bar za iyunga na Nzovwe zipo Local sana angalau ata za Mbalizi na Uyole au next time jaribu hata hotelini bei zao za vyakula vya kawaida sana na vibe lipo maana ndo machimbo ya mapedeshee/ wana apolo kutoka chunya.