Mbeya raha sana wakuu

Mbeya raha sana wakuu

Apo uyole mbona kitimoto bei kubwa mno, sogea mafyati pale Bar ya Mwailubi kilo 8000 rost tena unafanyiwa delivery pale VIP au kama vipi sogea Iyunga London Bar pembeni pale kilo 7000

Nmepamiss sana Mbeya specifically Mbeya Pazuri, City Pub na Mwailubi. Kuna Pisi kali sio za nchi hii
Dah nilikuwa pale mwailubi jmosi iliyopita
 
Pisi za kinyiha na Kindali ni jema kuzidi wote mbeye
 
Apo uyole mbona kitimoto bei kubwa mno, sogea mafyati pale Bar ya Mwailubi kilo 8000 rost tena unafanyiwa delivery pale VIP au kama vipi sogea Iyunga London Bar pembeni pale kilo 7000

Nmepamiss sana Mbeya specifically Mbeya Pazuri, City Pub na Mwailubi. Kuna Pisi kali sio za nchi hii
Uzuri wa Mbeya hata km una buku unakadiriwa finyango kwenye mabanda ya kitimoto..
 
Ila pamoja na shepu zao ngumu mademu wa Mbeya ni wastaarabu sn hawana ile Nitomb× nikale kama mademu wa Mzizima.
😅😅 Matured person hatuangalii mvuto uzuri.. tunataka mnatoka tuu.. Kila kitu ni kizuri inategemea position ya macho yako
 
City pub konyagi 15k local beer 2500 nilihama kiwanja chap nikahamia kakiwanja fulani kanaitwa clickkapo near iyunga kule local beer 3 alf 5
Apo uyole mbona kitimoto bei kubwa mno, sogea mafyati pale Bar ya Mwailubi kilo 8000 rost tena unafanyiwa delivery pale VIP au kama vipi sogea Iyunga London Bar pembeni pale kilo 7000

Nmepamiss sana Mbeya specifically Mbeya Pazuri, City Pub na Mwailubi. Kuna Pisi kali sio za nchi hi
 
Niko uyole hapa napiga vyombo

Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=

Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=

Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=

Boda bei ni buku tu.

Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
hivi machimbo ya KALEMBO, 2000 na Mbeya PEAK bado yapo? nili enjoy kuzidi, 20 ydrs ago
 
Back
Top Bottom