So unabisha?Kheee🤣 something went wrong
min -me hii inawezekana vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So unabisha?Kheee🤣 something went wrong
min -me hii inawezekana vipi?
Mls ngapi?So unabisha?
So unahisi mzigo unachukuliwa usungilo au kwa Obama, biashara ya vinywaji usiisemee kama unaijua vyema , nimeeleza kwa kifupi Sana.Acha uongo. Narudia tena acha uongo. Mbeya Pazuri na Universal hawanunui mzigo kama hizo bar za vichochoroni, we Michael na Tetile wangekuona kesho ungeshakuwa supu
Kwa 2moro uhakikaMaboresho ya posho
We ni muongo na hizo stori za vijiweni, Yani Universal na Mbeya pazuri wachukue mzigo kwa wauzaji kama Obama! Umeona sasa kumbe hujui hata mzigo wanakochukua halafu unalisha watu matango pori hapa.So unahisi mzigo unachukuliwa usungilo au kwa Obama, biashara ya vinywaji usiisemee kama unaijua vyema , nimeeleza kwa kifupi Sana.
Wewe sasa Ndio unaijua Mbeya,Yaan makasini pako hovyo kinomaNilikuwa Universal kuanzia saa 8 nimetoka kwenye saa 2 hivi. Hapo Makasini ni bar ya madereva wa malori.
Kitimoto nzuri kwa Uyole ipo white house inapatikana ng'ambo ya Universal. Kitimoto nzuri sanaaa nenda Ladii pork, Mbeya pazuri pale unapataka kitu choma roho inapenda
Nenepa tu na ukitaka kujiua we jiue tu.....kula raha zako mwenyewe.Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=
Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Safari ya matumaini mkuu😂😂Kwa 2moro uhakika
Hii forest kuzuli?Mbeya gharama za maisha ziko chini sana so siyo jambo la ajabu kwa sisi tulio wahi kuishi huko.
Kunyoa 1000/=
Wali nyama 2000/=
Gesti 5000/=
Watoto wa kinyaki mitako kama yote halafu hata hela hawazijui wala nini, nimewabandua sana nilivyokuwa mbeya pitia nzovwe,mbebela,mabatini,forest,iyunga,ikuti,kalobe nimetembeza sana gobore.
Bei ya YUTIAI haujasema.Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=
Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Zinatoka Malawi.Mkuu chunguza vizuri io konyagi vingine no doubt
Konyagi za malawi sio 🙌🙌 wanaaribu soko la pombe za ndani aiseeZinatoka Malawi.
Hiyo konyagi jamaa kapigwa.Mkuu chunguza vizuri io konyagi vingine no doubt
Huyo kapigwa, huko kilo ni 6000 na ndizi 4 7000, ndizi mbili jero.Au ni mtoto wake 😜
Yaah jamaa ni mgeni, kitimoto sio bei kiasi hicho, hizo ni bei za Pwani.Apo uyole mbona kitimoto bei kubwa mno, sogea mafyati pale Bar ya Mwailubi kilo 8000 rost tena unafanyiwa delivery pale VIP au kama vipi sogea Iyunga London Bar pembeni pale kilo 7000
Nmepamiss sana Mbeya specifically Mbeya Pazuri, City Pub na Mwailubi. Kuna Pisi kali sio za nchi hii
kiongozi hii ina ukweli au ndo mwendo wa kuharibiana biashara?Bei ya konyagi ni ndogo mbeya kwa sababu eneo la isyesye kuna viwanda vya konyagi feki ambavyo huchukua packaging Zambia Lusaka na Nairobi, na kubandika Lebo za TRA