Pre GE2025 Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mambo madogo mna complicate kidogo, Yani picha tu ndio mchome wese mpka rungwe.
 
Watanganyika ndio kina nani? Mali zipi zilizouzwa? Yeye binafsi na mtu mmja anawezaje kuuza Mali za Watanganyika? Mnakuwa hamna akili au?
Siku hizi naona Chawa wa Kitanganyika wameanza kurudi nyuma. Mmebaki nyie Chawa wa Kizanzibat
 
Kama kawaida. CHADEMA wanakataa watu wao wakifikwa na maji ya shingo.

Tumeona wakati DK Slaa na Adv Mwabukusi walivoingia mitaani. Itakuwa huyu mnyea bendera?

CHADEMA waliwakana. Walishindwa kuwapa "ushirikiano" walio uhaidi. Huyo mwanaharakati ni mmoja wao.

Na ikumbukwe CHADEMA ni chama cha wanaharakati tu
 
Haikuwa na haja ya kumkamata, wangemnasa sehemu, wakaenda naye mahali wakapiga sana, halafu waseme amepigwa na wananchi wenye hasira.

Au wanamtafutia issue ya bangi,bunduki, meno ya tembo au unga wanamshikisha, hatatoka jela milele
 
Ndio uzuri wa nchi kuwa na Amani
Kuchoma picha ni kosa
Angemlipua Rais na kombora ingekuwaj
 
1. Sehemu gani ya hiyo 'clip' kamtukana au kumkashifu rais wako?
2. Picha anayoonesha kijana huyo ni kuchora, ni mali yake, haina uhalisia wa sura ya rais wako kwanini mnadai ni picha ya rais?
3. Je, ni uongo kwamba tabia mbaya za kishoga, kusagana, umalaya, ufisadi, manyanyaso, ukatili, ubambikaji wa kesi dhidi ya raia haujaongezeka na hakuna jitihada yoyote ya dhadi kuzidhibiti?
4. Kifungu kipi cha sheria au utamaduni uliovunjwa na kijana huyo ambaye anatoa maoni yake kuhusiani na hali mbaya ya kimaisha kwa wananchi wengi Tanzania?
5. Kwanini mmekimbilia kumkamata kijana ambaye hajaleta madhara kwa mtu yeyote wala hakuna mmlamikaji aliyejitokeza mwenye sura iliyooneshwa badala ya kuwa mmejielekeza kuwakamata wanaoendeleza utekaji, utesaji na uuaji kwa wananchi wasio na hatia?
6. Mnachokifanya kinakoka moto chini kwa chini hamtaweza kuuzima
 
Wanampatia kijana umaarufu - ataandikwa kwenye magazeti, Radio na Luninga. Kama alichoma hadharani basi alikuwa anatafuta jambo! Kama alichoma akiwa peke yake - polisi waendelee kukamata wahalifu hatari.
 

View: https://twitter.com/Sisimizi3/status/1808427950385029206?t=mC3LIs-lip0__9ta33zE3w&s=19
 
QUOTE="imhotep, post: 50662263, member: 105391"]
Wenzetu wanachambia Picha za Biden.
[/QUOTE]
Kuna mmama mmoja wa maccm nilimuona jana kavaa kanga inapicha ya mama naniliu sasa mbwana ile picha ipo katikati ya sambwanda akajaba bwana kama honi ya fuso nikasema angejabia picha mbele ya cops angekula pingu 😂😂😂
 
huyo maza watu hawampendi sasa kwani lazima kila mtu kumpenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…