tunduma001
JF-Expert Member
- Jun 7, 2021
- 403
- 762
Kama huwajui basi,sisi watanganyika hatumtaki huyo bibi fisadi mbona kwao kule haendi kuuza kitu chocchote, yeye kama anawapenda sana wajomba awape ungujaWatanganyika ndio kina nani? Mali zipi zilizouzwa? Yeye binafsi na mtu mmja anawezaje kuuza Mali za Watanganyika? Mnakuwa hamna akili au?
Na mapinduzi ya kweli yanaweza kuanzia huko
Wampinge kwa hojaMnatumia nguvu nyingi sana kumlimda na kuwa Piga wanaompinga wakati taifa linateketea kabisa.
Hasa dini ya watu hapa inahusika vipi wewe faruku.Kwa hiyo ushungi na miwani ni vya waisilamu tu?Uislamu unawapa headaches sana sio! Poleni sana
Chura hawezi kukubalika hata kdg atafute pa kwenda tu. 2025 tunapiga teke churaMkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake.
My Take
Naunga mkono hoja, upumbavu wa tabia za kihuni za kuiga ukomeshwe na usiruhusiwe hapa Tanzania.
Mnaweza kupinga Kila kitu kadiri inavyowezekana lakini kwa namna ya kuwaheshimu hao msiokubaliana.
Tanzania haiwezimkiwa Taifa lawahuni.
====
Mkuu wa mkoa wa mbeya cde: Juma Z. Homera amemuagiza Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini kuzaga kumsaka na kumkamata kijana anayepatikana Ntokela Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa kosa la kumkashifu Rais Samia kwa maneno makali na kisha kuichoma moto picha inayomuonyesha Rais.
RC Homera amelaani vikali kitendo hicho kuwa si cha maadili wala uungwana na kiko tofauti na utamaduni halisi wa wananchi mkoani Mbeya.
Hata hivyo ametoa masaa 24 kwa Kamanda Kuzaga kumkamata kijana huyo ili alisaidie Jeshi la Polisi juu ya tuhuma hizo na mashambulizi hayo ambayo kayaelekeza moja kwa moja kwa Rais Samia.
Mwisho RC Homera amewasihi wananchi mkoani Mbeya kutojiingiza kwenye vitendo viovu kwa kukashifu viongozi makusudi badala yake wajikite katika utafutaji na uchapa kazi kwa manufaa ya familia zao na Tanzania kwa ujumla.
Mm sijashabikia maana hata picha.Hata wewe msukuma unashabikia huu ujinga!
Ushahidi nnao, huku ni tanganyika binti sio zanzibar kwa hiyo kaa kwa kutulia huku hapakuhusu bibieUkiombwa ushahidi wa hilo utatoa? Kila siku kuwasema waarabu tu, hamuna kazi za kufanya! Mbona wazungu na wachina hamsemi kitu!
Yaan huyo dogo watamtafuta kwa mapesa na mafuta ya polisi mbeya nzima.Ila waambie kuwa kuna mama mjamzito anatakiwa akimbizwe hospital hawana mafuta.Wampinge kwa hoja
Utafikiwa Mkuu .Hiyo picha ni mali yake ana haki ya kuifanya atakavyo
Bendera za Israel na Marekani kila mara zinachomwa moto ndio sembuse chura kiziwi.
Yupo mwamba mpaka nakala za Qurani kapiga moto ni mali yake huwezi kumpangia.
Ushahidi nnao, huku ni tanganyika binti sio zanzibar kwa hiyo kaa kwa kutulia huku hapakuhusu bibie
Hasa dini ya watu hapa inahusika vipi wewe faruku.Kwa hiyo ushungi na miwani ni vya waisilamu tu?
Pamoja sana ustaziMm sijashabikia maana hata picha.
Kumbe wewe akili hunaHuwezi choma hadharani,nenda kabandue kwenye minara ya taa harafun zichome tukuone.