The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Hiyo picha ni mali yake ana haki ya kuifanya atakavyo
Bendera za Israel na Marekani kila mara zinachomwa moto ndio sembuse chura kiziwi.
Yupo mwamba mpaka nakala za Qurani kapiga moto ni mali yake huwezi kumpangia.
Angalau wale ni watu sio hao magaidi.Ukiombwa ushahidi wa hilo utatoa? Kila siku kuwasema waarabu tu, hamuna kazi za kufanya! Mbona wazungu na wachina hamsemi kitu!
Soma post namba moja.Kwa kosa gani?
Mkuu Matola,Hiyo picha ni mali yake ana haki ya kuifanya atakavyo
Bendera za Israel na Marekani kila mara zinachomwa moto ndio sembuse chura kiziwi.
Yupo mwamba mpaka nakala za Qurani kapiga moto ni mali yake huwezi kumpangia.
Yani wao kazi kuhangaika na vitu vya kijinga itafikiri Chura Kiziwi ni MunguKama Mkuu wa Mkoa wa Katavi nae angekuwa sharp kuagiza waliomteka Sativa na kumtupa kwenye Mbuga ya wanyama nao wakamatwe ingekuwa poa sana
Yeye si ndo alijiita ye Chura KiziwiMkuu Matola,
Kuchoma picha ya mtu maana yake nini?
Viongozi ni watu kama sisi tu.
Tuwakosoa na kuwapinga kwa hoja, siyo matendo yasiyo na staha.
Mwananchi yeyote ana haki ya kumkosoa ama kumpinga Raisi Samia, lakini bado huyo ni Mkuu wa nchi na ni mama.
Kumuita majina kama chura kiziwi ni utovu wa nidhamu usiokuwa na tija yeyote kwa taifa hili.
Matola wewe ni msomi wa Phd, pamoja na uhuru unaoletwa na mfumo wa vyama vingi, tunatarajia busara zaidi kutoka kwa watu kama nyie.
Adhabu hiyo, isiishie hapo....iende moja kwa moja kwa viongozi wote wa Mikoa na wilaya ambao wameweka picha za Mama kwenye mabango Hata stika lakini picha hizo zimeishachakaa...na nyingine zimechanika ama kutobolewa...! Yaani Mkuu huyo, wa Mkoa apambane kweli kweli kuhakikisha hili linafanyika maana kero nyingine za wananchi watashughulikia viongozi wengine.Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake.
Alijiita yeye kumbe?Yeye si ndo alijiita ye Chura Kiziwi
Nikijirekodi hadharani nachoma picha yako utanishtaki kwa kosa gani? Acheni upumbavu nyie watu. Rais naye ni mtanzania kama watanzania wengine.Kama sio Mungu ndio inatakiwa picha yake kuchanwa? Hilo ndio kosa sasa
Jana tulikuwa tunaongea na Wakili Peter Madeleka kuwa Wakuu wa Wilaya na Mikoa hawana haki ya kuamrisha hizi kamatakamata za Polisi.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake.
My Take
Naunga mkono hoja, upumbavu wa tabia za kihuni za kuiga ukomeshwe na usiruhusiwe hapa Tanzania.
Mnaweza kupinga Kila kitu kadiri inavyowezekana lakini kwa namna ya kuwaheshimu hao msiokubaliana.
Tanzania haiwezimkiwa Taifa lawahuni.
====
Mkuu wa mkoa wa mbeya cde: Juma Z. Homera amemuagiza Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini kuzaga kumsaka na kumkamata kijana anayepatikana Ntokela Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa kosa la kumkashifu Rais Samia kwa maneno makali na kisha kuichoma moto picha inayomuonyesha Rais.
RC Homera amelaani vikali kitendo hicho kuwa si cha maadili wala uungwana na kiko tofauti na utamaduni halisi wa wananchi mkoani Mbeya.
Hata hivyo ametoa masaa 24 kwa Kamanda Kuzaga kumkamata kijana huyo ili alisaidie Jeshi la Polisi juu ya tuhuma hizo na mashambulizi hayo ambayo kayaelekeza moja kwa moja kwa Rais Samia.
Mwisho RC Homera amewasihi wananchi mkoani Mbeya kutojiingiza kwenye vitendo viovu kwa kukashifu viongozi makusudi badala yake wajikite katika utafutaji na uchapa kazi kwa manufaa ya familia zao na Tanzania kwa ujumla.
Picha ni yake sio Mali ya umma ana haki ya kuichoma.Rais ni Mali ya Umma sio yake ,kuharibu Mali ya Umma ni kosa na vibaya kimaadili.
Wewe ni bichwa flat mbona unajikana? Alafu huna mamlaka yoyote ya kuniamrisha weweUzuri huwa sina matusi, ongea vyote unavyojisikia, kwanza mimi sio mzanzibari kijana.
So, tunaomba huo ushahidi!
Wewe ndio huna akili. Unawaza uchawa tu.Watanganyika ndio kina nani? Mali zipi zilizouzwa? Yeye binafsi na mtu mmja anawezaje kuuza Mali za Watanganyika? Mnakuwa hamna akili au?
Unaona madhara ya kudandia kitu bila kuelewa?Alijiita yeye kumbe?
Kama ni hivyo, sawa.
Punguza kuropoka. Sheria ipo inasema kuchana picha ya Chura ni kosa?Kama sio Mungu ndio inatakiwa picha yake kuchanwa? Hilo ndio kosa sasa
Yeah, tumpinge kwa hoja. Kuchoma picha ni vitendo vya kihuni, na ninaamini mkuu huwa hauungi mkono uhuni.Unaona madhara ya kudandia kitu bila kuelewa?
Fuatilia mabandiko yangu kuhusu huyu mama aliporithi Urais kutoka kwa Magufuli tulimpa full support matokeo yake amechange gia angani ameungana na wahuni kuwafukarisha Watanzania.
Ni big dissapontment and betray.