Pre GE2025 Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maneno gani ya kashfa. Jamaa kasema tumepiga kelele kuhusu ushoga nchini na Rais hataki kuchukua hatua, ndio akaichoma hiyo bendera.
 
Huyo
Kijana yupo wapi tumrushie pesa ya bia .....watanganyika wamekataa kuongozwa na chura mwenye laana
 
Yeah, tumpinge kwa hoja. Kuchoma picha ni vitendo vya kihuni, na ninaamini mkuu huwa hauungi mkono uhuni.
Unapochochea watu hasira tegemea watu kuishiwa uvumilivu.

Wanaochoma moto bendera za Marekani na Israel siyo vichaa, ndio njia yao ya mwisho kufikisha hisia zao au wavae mabomu kujiripuwa.

Wewe unapendekeza lipi hapo, suicide bombers au watu watowe hisia zao hadharani?

Mama ametusaliti kuungana na genge la majizi na matapeli yasiyokuwa na huruma na maisha ya Watanzania.

 
akishaingia mikononi mwa vyombo vya dola hakuna ambaye atamsaidia kama baadhi yetu tunavyomsapoti kwa huu ujinga alioufanya.
Ujinga ni kwako mwabudu binadamu. Mtu kachoma picha yake watu mbio akamatwe. Akamatwe kwa kosa gani? Kavunja sheria ipi?. Mimi namuunga mkono huyo jamaa kaonesha hisia zake hadharani.
 
Huwezi choma hadharani,nenda kabandue kwenye minara ya taa harafun zichome tukuone.
Sasa hapo si nitakuwa nakosea sheria nyepesi tu ya uharibifu wa mali ya mtu. Mimi nabandua ambazo zimebandikwa kwenye nguzo zangu na ukuta wa maduka yangu. TAKATAKA HIZO NAZITIA MOTO.
 
Kaamua kujilipua aisee
Napitatu
 
Wakisimama watu laki moja wakaichoma picha ya rais mtawafanyaje?
Rais si kiumbe cha kuabudiwa
Taifa kweli linazidi kuathirika na ushoga, we unaonaje?
 
Ujinga ni kwako mwabudu binadamu. Mtu kachoma picha yake watu mbio akamatwe. Akamatwe kwa kosa gani? Kavunja sheria ipi?. Mimi namuunga mkono huyo jamaa kaonesha hisia zake hadharani.
itakuwa vyema nawe jirekodi ukichoma picha ya rais kama alivyofanya huyo unayemuunga mkono nyuma ya 'keyboard'
 
ndiyo akamatwe ,apimwe na akili labda ana ukichaaa
 
Wakisimama watu laki moja wakaichoma picha ya rais mtawafanyaje?
Rais si kiumbe cha kuabudiwa

Taifa kweli linazidi kuathirika na ushoga, we unaonaje?


kwa hiyo wewe unataka ma idiot yanayotukana wakubwa ndiyo yasikilizwe ?unaweza kuta huyo kijana hata kushika jembe akalime viazi ( maana ni dili sana kule MBEYA) HAJUI anabaki anamtukana mkuu wa nchi.


Franz Kafka > Quotes > Quotable Quote​



(?)

“One idiot is one idiot. Two idiots are two idiots. Ten thousand idiots are a political party.” they can even vote one idiot as president to represent them

― Franz Kafka
tags: idiot, political, political-party
 
RC kasema kosa ni kukiuka utamaduni wa wana Mbeya.

Na kosa la pili ni kumkosea heshima mtu ambae ni kama mama yako.

Criminal Code ya Tanzania haina vifungu vya utamaduni wa Mbeya. Wala haitaji heshima kwa mama wa makamo ya mama yako.

Mkuu wa Mkoa ameshindwa kutaja jinai, kilaza mkubwa. Angeongea kwanza na wanasheria, wamejaa kwenye Halmashauri zake.

Siku hizi anybody tunamchukua shambani, mtaani, gereji, tunampa cheo chochote kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…