Pre GE2025 Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Matusi ninayoona mimi ni mijizi serikalini kuendelea kuiba huku rais anayaangalia tu. Hayo ndiyo matusi kwetu sisi wananchi....subri mtoto wako awe shoga kweye wimbi hili liloingia laba utatoa pongezi...
Majizi kama yapi hayo unayoyajua wewe na Rais anayaangalia? Nitajie
 
Kwani "heshima" ni kitu gan; inatokana na nini na ni nani anaye heshimika?

Utamheshimu mtu unayeona anakiuka unayo yaamini wewe

Sijasema naunga mkono yanayodaiwa kufanywa, kama ni kweli yalifanyika.
Heshima ni lazima Kwa tafsiri yeyote uijiayo wewe au Ile ya kwenye kamisi.
 
Chadema wafundisheni vijana wenu kuwa wastaarabu la sivyo wataharibikiwa sana, mimi siungi mkono abductions lkn nachukia zaidi huu ujinga wa kumtukana Rais na kuchoma picha yake.

Sasa unachoma picha ya Rais ili iweje?

Yakikukuta yakukukuta utamlaumu nani?

Yaani unaamka asbh unapita sehem unakutana na picha ya Presidaa au PM au VP wewe kwa hasira unachana, maana yake ni nini hasa?

Nasikitika na kuwaonea huruma sana vijana mnaotumwa kufanya ujinga huo, wenzenu wana pa kushikia, nyie mnasubiri kuliza familia zenu.Ushauri tu.
 
Kwani yule dogo ni kijana wa Chadema?

Kauli alizoziongea anaonekana na mwana harakati huru anayepinga ushoga, na hata bango aliloonesha kaandika maandishi yanayoonesha ni movements za kiimani...

Kama kafanya kosa ni juu yake mwemyewe, sio kila mambo ni ya kisiasa...
 
Hapo...kachoma takataka au kamchoma Rais...! Je Kuna jeraha lolote mh. Rais amelipata baada ya takataka hiyo kuchomwa...?

Wangemuacha tu...ila yanini kumsakama mtu alie amua kufanya usafi wa chumba chake 🤣🤣🤣​
 
Maisha yetu yanakuwa magumu wakati mwingine sababu ya kuhusianisha visivyohusiana
 
Chadema wafundisheni vijana wenu kuwa wastaarabu la sivyo wataharibikiwa sana, mimk siungi mkono abductions lkn nachukia zaidi huu ujinga wa kumtukana Rais na kuchoma picha yake.

Sasa unachoma picha ya Rais ili iweje?

Yakikukuta yakukukuta utamlaumu nani?

Yaani unaamka asbh unapita sehem unakutana na picha ya Presidaa au PM au VP wewe kwa hasira unachana, maana yake ni nini hasa?

Nasikitika na kuwaonea huruma sana vijana mnaotumwa kufanya ujinga huo, wenzenu wana pa kushikia, nyie mnasubiri kuliza familia zenu.Ushauri tu.
Huu ushauri kampe mama yako kwa sababu una mawazo ya ki-manamba.
 
Alichofanya huyo ni kuwakilisha hisia za wengi. Mwenye hekima angejitathini kuhusu uongozi wake. Huyo atatafutwa atapatikana lakini sio mwisho wa kutokea matukio kama hayo. Yawezekana hilo ni dogo katika yanayokuja.

Watanzania hawana furaha na huu uongozi kinachosaidia ni waoga na wabinafsi ndio maana unaona amani imetamaliki.
 
Chadema wafundisheni vijana wenu kuwa wastaarabu la sivyo wataharibikiwa sana, mimk siungi mkono abductions lkn nachukia zaidi huu ufala wa kumtukana Rais na kuchoma picha yake.

Sasa unachoma picha ya Rais ili iweje?

Yakikukuta yakukukuta utamlaumu nani?

Yaani unaamka asbh unapita sehem unakutana na picha ya Presidaa au PM au VP wewe kwa hasira unachana, maana yake ni nini hasa?

Nasikitika na kuwaonea huruma sana vijana mnaotumwa kufanya ujinga huo, wenzenu wana pa kushikia, nyie mnasubiri kuliza familia zenu.Ushauri tu.

..kuharibu mali ya mtu ni kosa.

..aliyefanya hivyo achukuliwe hatua kwa MUJIBU WA SHERIA.

..kumteka mtu na kumjeruhi ni kosa kubwa zaidi ya kuharibu picha ya kiongozi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake.

My Take
Naunga mkono hoja, upumbavu wa tabia za kihuni za kuiga ukomeshwe na usiruhusiwe hapa Tanzania.

Mnaweza kupinga Kila kitu kadiri inavyowezekana lakini kwa namna ya kuwaheshimu hao msiokubaliana.

Tanzania haiwezi na haitakuja kuwa Taifa la wahuni.Safi sana Polisi Kwa kumtia nguvuni,alijikuta Gen Z sana.

====

Mkuu wa mkoa wa mbeya cde: Juma Z. Homera amemuagiza Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini kuzaga kumsaka na kumkamata kijana anayepatikana Ntokela Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa kosa la kumkashifu Rais Samia kwa maneno makali na kisha kuichoma moto picha inayomuonyesha Rais.

RC Homera amelaani vikali kitendo hicho kuwa si cha maadili wala uungwana na kiko tofauti na utamaduni halisi wa wananchi mkoani Mbeya.

Hata hivyo ametoa masaa 24 kwa Kamanda Kuzaga kumkamata kijana huyo ili alisaidie Jeshi la Polisi juu ya tuhuma hizo na mashambulizi hayo ambayo kayaelekeza moja kwa moja kwa Rais Samia.

Mwisho RC Homera amewasihi wananchi mkoani Mbeya kutojiingiza kwenye vitendo viovu kwa kukashifu viongozi makusudi badala yake wajikite katika utafutaji na uchapa kazi kwa manufaa ya familia zao na Tanzania kwa ujumla.

View attachment 3031314
Video ya Kijana akichoma moto picha ya Rais Samia.
Dini nyengine hata ukijua kwamba ulipo sipo jua lishazama
 
Kizazi kipya kinaanza kujielewa, mwachemi mtoto katoa yaliyoko moyoni mwake.
 
Amechoma karatasi
 
Back
Top Bottom