Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Seriously mtu unaingiza uume wako kwa mtu mwenye sura ngumu kama huyu!??[emoji848]mabasha nao wanatakiwa wapimwe akili
Unajua ni ugonjwa wa akili huu kama vile mtu anayeamua kut*mba maiti, au mtu anayekula nyama ya binadamu.
 
Mwinuka si watu wa Kyela mgeni huyo" Njanga"
Akitaka kupandwa atapandwa
 
Cheki hili jamaa. Kwa hiyo unashabikia vitendo hivi magerezani?.
Kwani vimepigwa marufuku? Hata huyo hakimu anajitoa ufahamu tu kuhukumu huyu mtu, ilhali anajua yanayoendelea katika magereza.
 
Mwinuka si watu wa Kyela mgeni huyo" Njanga"
Akitaka kupandwa atapandwa
Huyo ni Mwamwinuka ila jina lilikosewa ndio wakaandika Mwinuka.

Ulitaka kuwapa kashfa watu wa Iringa ua Njombe

Jitu limekulia kwenye ardhi ya Kyela huko, pumbavu zenu akiwa sawasawa na kina mwakapesa, mwakasitu, mwashoga, mwakipesile, mwakalobo, mwandodya, mwailubi, mwampamba na mwandoya
 
Hakuna Mwaminuka Mbeya wewe bwege katoka kwenu huko
 
Wamemwonea tuu, huyu hakuwa hata na mwanasheria wa kumtetea au kumuongoza, hakimu hakutenda haki kabisa
 
Ni kweli kabisa lasivyo hatutaweza kumaliza hili janga
 
Uko mbeya kuna mashirika kabisa yameanzishwa na uko nyanda za juu kusini ili kusambaza hizi harakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…