Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Pande la mtu halafu shoga 🤣🤣🤣🤣🤣na sura imemkomaa hivyo halafu eti ana miaka 22 😂😂😂😂.

Ila kuna raia zina roho ngumu , mademu walivyo jaa tele unawaacha unaenda kumpelekea moto hili jibaba 😂😂😂na alivyo kidali hivyo ukimpelekea moto vibaya utashangaa anakugeuza wewe
 
Walimkamata kwa sababu AMEVAA NGUO ZA KIKE wakahitimisha kwamba ni SHOGA.

Waliibuka tu watu wakaanza KUMBURUZA na KUMMULIKA NA MAKAMERA, mara ghafla baada ya nusu saa akafungwa jela MIAKA 30.

Hakuna ushahidi, hakuna utetezi wala hakuna DUE PROCESS OF THE LAW.

Now this is a true BARBARISM. Kama kweli wana akili timamu WATAMUACHIA HURU HUYO KIJANA.

WAACHE UMBAMBAMBA WA KUTAFUTA MAKIKI YA KIHOLELA KWA GHARAMA YA KUUMIZA WATU KWA KUWAONEA.

Kudhulumu nafsi ya mtu kwa miaka thelathini jela ni dhambi kubwa sana, na waliohusika watapata KARMIC PAY BACK endapo hawatatengua uamuzi wao wa kihuni.
Bado jamii yetu ina uelewa mdogo sana juu ya nani ni shoga na nani sio shoga. Kuvaa nguo za kike hakumaanishi kuwa ni shoga moja kwa moja, huyu anaweza akawa ni Cross dresser

Na pengine amekiri hilo kosa kwa sababu ya hofu iliyomtawala.

Kwakweli tunapambana na tusichokifahamu, na hatutafanikiwa asilani.
 
Mimi naomba ataje wale walikuwa wakimla. Sababu hawa watu watabakia mtaani huko wakilawiti watoto na kushawishi wake za watu kuliwa tigo.

So naomba mahakama isiishie hapo tu iendelee mbele zaidi kuchukua hatua dhidi ya hawa walioshiriki nae ngonoi ya kinyume na maumbile
Akikutaja wewe utajitetea vipi!?
 
Mimi naomba ataje wale walikuwa wakimla. Sababu hawa watu watabakia mtaani huko wakilawiti watoto na kushawishi wake za watu kuliwa tigo.

So naomba mahakama isiishie hapo tu iendelee mbele zaidi kuchukua hatua dhidi ya hawa walioshiriki nae ngonoi ya kinyume na maumbile
Naunga mkono hoja, hao wanaoingiliwa kinyume na maumbile kuna washiriki wenza vidume uchwara wanaowaingilia wenzao nao wanastahili kupata hukumu kama hiyo (similar treatment).
 
Ujinga mtupu, hiyo BANANA COURT inahukumu watu SUMMARILY bila hata ushahidi?

Kesi gani inaendeshwa kwa siku moja bila kuzingatia ushahidi wa kidaktari na kitaalamu?

This is a WRONG PLEA OF GUILTY which needs to be QUASHED.

Huyu hakimu anatembea na upepo ili aonekane anapinga ushoga. Amulikwe.

Sio haki kumfunga mtu kisa tu ametumia mwili wake kufanya mapenzi atakavyo. Kama kuna sheria inayosema hivyo, ni sheria BATILI.

Akate rufaa haraka.

angepelekwa kwa daktari wakati mwenyewe kishasema ni kweli kafanya ushoga mngelalamika ameingiziwa vidole viwili virefu vya daktari bila idhini yake

Keshakiri kosa , ushahidi wa nini tena ? Umesoma wapi sheria ?
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Halafu Sabaya anaachiwa bila adhabu kali?!!!
 
Gereza atakalopelekwa wafungwa mabasha watafurahi sana. Watamchubua unyeo maana huko hawatumii vilainishi. Anapakwa mate tu, mshipa unaingia 😂😂😂😂
 
Pande la mtu halafu shoga 🤣🤣🤣🤣🤣na sura imemkomaa hivyo halafu eti ana miaka 22 😂😂😂😂.

Ila kuna raia zina roho ngumu , mademu walivyo jaa tele unawaacha unaenda kumpelekea moto hili jibaba 😂😂😂na alivyo kidali hivyo ukimpelekea moto vibaya utashangaa anakugeuza wewe
Ukiwa unafira mashoga kufirwa rais sana
 
Chaajabu nchi hii wanawake wanawapenda sana mashoga kuwa nao urafiki. Hii vita no ngumu.
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Ila huyu aiseh
 
Vipi aliyemuingilia, yuko wapi?
 
Back
Top Bottom