Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Hakimu hutoa hukumu kama umekiri na ukikiri hakuna rufaa.

Kama asingekiri asingehukumiwa bila ushahidi kufikishwa mahakamani
Sawa, lakini KUKIRI lazima muhusika awe anaelewa maana na mantiki ya KUKIRI.

Kama alikiri katika mazingira ya kutotambua, hiyo ni wrong plea of guilty.
 
Sheria zipo kabla hujazaliwa

154-158 imeandikwa vizuri

Kuanzia kuingilia, Kuingiliwa, Kunajisi Wanyama etc
Hii ni sheria mbaya haifai. Kwanza ni ya kibaguzi kwa sababu kuu TATU:

1. Sheria hii haizungumzi kuhusu wasagaji, kitu ambacho kinaenda kinyume na madhumuni ya kuundwa kwake.

Ni mashoga pekee ndio wahanga wa sheria hii. Huu ni ubaguzi wa kionevu na ni kinyume na katiba.

Kama lengo ni kuzuia mapenzi ya jinsia moja, kwanini usagaji uwe halali halafu ushoga uwe haramu? HILI NALO MKALITIZAME.

2. Sheria hii haishughuliki na HETEROSEXUAL SODOMY. Wale wanaowafira wake zao wako salama na hakuna anayewagasi au kuwabughudhi.

Kama lengo kuu ni kuzuia MATENDO YA KINYUME NA ASILI, kwanini kumfira mwanamke ni halali, wakati kumfira mwanaume ni haramu?

JAPO SHERIA imesema vyote ni haramu lakini utekelezaji wa sheria unadhihirisha wazi kwamba hapa walengwa ni mashoga tu na sio mabasha au wanawake.

3. Sheria hii inatekelezwa kihuni kwa kumkamata kila mwenye mwonekano wa kike na kuanza kummulika na makamera. Na kwenye EXTREME CASES, hata kumpima kwa kumpiga vidole mkunduni. Huku ni KUTWEZA UTU.

Si kila shoga ana mwonekano wa kike. Kwahiyo kuwawinda na kuwa-target watu wenye mionekano ya kike si sawa. After all hakuna sheria inayozuia mtu mume kuwa na mwonekano wa kike kwa minajili ya bayolojia yake au mavazi yake. Huu ni UHUNI.
 
Wanaume mna sehemu yenu maalumu huko juu. Uache mwanamke ukamchukue huyu na hapo alikuwa mawindoni na wateja anapata.

Kilio changu bado kiko palepale wanaowaingilia, nao wapewe 30 yao. Hivi vitendo havitakwisha, kama mabasha yanabaki uraiani. Kwanini msiwabane, wataje mabasha zao?
 
Hii ni sheria mbaya haifai. Kwanza ni ya kibaguzi kwa sababu kuu TATU:

1. Sheria hii haizungumzi kuhusu wasagaji, kitu ambacho kinaenda kinyume na madhumuni ya kuundwa kwake.

Ni mashoga pekee ndio wahanga wa sheria hii. Huu ni ubaguzi wa kionevu na ni kinyume na katiba.

2. Sheria hii haishughuliki na HETEROSEXUAL SODOMY. Wale wanaowafira wake zao wako salama na hakuna anayewagasi au kuwabughudhi.

3. Sheria hii inatekelezwa kihuni kwa kumkamata kila mwenye mwonekano wa kike na kuanza kummulika na makmera. Na kwenye EXTREME CASES, hata kumpima kwa kumpiga vidole mkunduni. Huku ni KUTWEZA UTU.
Hayo ni yako, sisi hatuyajui, mwanaume hatakiwi *****
 
Jirengeshe na wewe utapigwa 30 na kibano juu
Naamini wataanza na wewe, kwa jinsi unavyopenda kufirwa hutoboi.

Ndio maana nawatetea nyie mapunga ili asije mtu akawagasi kinyume na utaratibu.

Hapa ulipaswa kunipa asante au zawadi ya kinyeo.
 
Seriously mtu unaingiza uume wako kwa mtu mwenye sura ngumu kama huyu!??[emoji848]mabasha nao wanatakiwa wapimwe akili
Hatari sana! Halafu nahisi mabasha huwa wanaanza kujifunzia hiyo tabia kwa kuwageuza wanawake. Huwezi from no where tu uingize kwa mwanaume nyuma. Kwanza hayo mavi inakuwaje jamani! Mbona kinyaa!
 
Watu wengi wanatemwa na rufaa kwa sababu ya hukumu kama hizi.

Huyu akitekenya rufaa kidogo tu, nje kwa sababu ya hukumu za jazba!

Sishobokei tabia zao hizo lakini tunaangalia hukumu imekwenda kihalali kwa kosa husika?
Ukikiri kwa hiari yako hakuna rufaa
 
Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Ndio huyu kwenye picha?
 
Huyu HAKIMU WA MWENDOKASI ni mjinga na mpumbavu.

Kwanza ni wazi anaonekana yuko BIASED na ANAWACHUKIA MASHOGA ndio maana akawa na MUNKARI wa kuendesha kesi kwa SIKU MOJA kama anaendesha BARAZA LA KATA.

KESI YA JINAI ni uhai wa mtu. Huwezi kuitupa nafsi ya mtu jela miaka thelathini ili tu kujifurahisha hisia zako. NI UONEVU MKUBWA SANA NA UKATILI WA AJABU (Na najiuliza huyu hakimu kama usiku analala kwa amani kabisa akijua amedhulumu nafsi ya mtu).

Sijawahi ona kesi haina ushahidi wala utetezi. Ati mtu anafungwa saa hiyo hiyo. NOO.

WE CAN NOT HAVE SUCH A COURT IN A CONSTITUTIONALLY GOVERNED STATE.

HUYU HAKIMU WA MWENDOKASI AMULIKWE NA AFUNGULIWE MASHTAKA YA PROFESSIONAL INCOMPETENCE.

RUFAA BAADAYE.
BICHWA KOMWEE

#KATAA UBASHA📢📢📢
#KATAA USHOGA📢📢📢
#MWANAMKE KATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE📢📢📢
#KATAA USHIRIKINA
#KATAA UZINZI
#KATAA USENGENYAJI
#KATAA UMBEA
#KATAA UCHONGANISHI
#KATAA UONGO
#KATAA UNAFKI📢📢📢

Kwani Sheria inasemaje kuhusu Lgtbq in Tanzania? How does that Professional Incompetence appear in Lgtbq Laws?

Professional negligence lawyers will treat your claim with respect and dedication..going through a professional negligence claim can be stressful..costly and drawn out

In Developed Countries based on incompetence it states that.. Professional negligence pre action protocol is essentially designed to let potential claimants of professional negligence settle their case without the need for court proceedings..The Professional Negligence Pre-Action Protocol came into action in 2001 and ensures that both parties have gathered sufficient evidence and have identified all issues in correspondence with one another.

A lawyer will be able to assist you with gathering your evidence and preparing your claim..but does that thing work in Tanzania?🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

Is there any rights of Suspects and Accused in Lgtbq People in Tanzania?

A professional negligence lawyer will assist you with dispute resolution and mediation and will aim to resolve claims before they go to court. However..should your claim go to court, you can be assured that LGBT Lawyers have the training and knowledge to fully support your case.

Having a litigation lawyer on your side during a professional negligence case will help you understand how strong your case is, and how credible the other side’s evidence is..but based on this case the Court based on the only one side

By the way I dont support Lgtbq..May our Almighty protect our Generation in all
Sins🙏🙏🙏
 
Wizara ya mambo ya ndani iboreshe vituo vya polisi na vyumba vya magereza kwa kujenga vyumba / sero maalum kwa watu wahalifu wenye tabia za ushoga na usagaji.
 
BICHWA KOMWEE
Kwani Sheria inasemaje kuhusu Lgtbq in Tanzania? How does that Professional Incompetence appear in Lgtbq Laws?
Kwenye kesi za mihemko kama hizi, ni kawaida kukuta mshtakiwa anakiri kosa kutokana na kuzongwa zongwa kila pande na kuzomewa.

Ni wazi hakuwa katika hali sawa sawa ya kiakili, hivyo ilikuwa ni WAJIBU WA HAKIMU kumpa mshtakiwa nafasi ya kuelewa mashtaka pamoja na kuelewa NINI MAANA YA KUKIRI pamoja na MATOKEO YA KUKIRI.

NA NI WAZI PIA KWAMBA hakimu hakumpa nafasi hiyo mshtakiwa kwa sababu hakimu anachukia ushoga, hivyo akaona ni bora amfunge chap chap kwa kutumia MITEGO YA KISHERIA.

HAKIMU NI WA MWENDOKASI anayeongozwa na MIHEMKO bila kuzingatia taaluma ya sheria pamoja na kiapo chake cha kutenda haki katika mazingira yote.
 
Wapewe dawa ya kupunguza hamu ya kulawitiwa na sio vifungo vya muda mrefu.

Huko Jela ndio anaenda kulawitiwa kwa mkupuo na wafungwa na Manyampara sasa nani mjanja hapo Hakimu au Shoga?
 
Back
Top Bottom