Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Siungi mkono ushoga lakini itoshe kusema huyu kijana AMEONEWA.na akipata watetezi na rufaa anatoka nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakimu mpumbavu na mjinga sana.Watu wengi wanatemwa na rufaa kwa sababu ya hukumu kama hizi.
Huyu akitekenya rufaa kidogo tu, nje kwa sababu ya hukumu za jazba!
Sishobokei tabia zao hizo lakini tunaangalia hukumu imekwenda kihalali kwa kosa husika?
Punguza mhemko Aunty BichwaaHakimu mpumbavu na mjinga sana.
Hawa ni wale MAHAKIMU WA DIVISHENI FOO wa kipindi cha JAKAYA.
Hatuwezi kuwa na mahakama ya aina hii katika JAMHURI inayoongozwa na KATIBA.
Mahakama ambayo inafunga watu JELA vifungo vya kikatili bila ushahidi wala utetezi. Mahakama inayoendeshwa kwa MIHEMKO na HISIA BINAFSI ZA HAKIMU ASIYE NA ELIMU YA SHERIA. HAPANA.
Huyu hakimu anaendeshwa na mihemko na upepo wa ushoga.
Haijalishi mtu amefanya dhambi kiasi gani, lakini lazima apewe fursa inayokubalika kisheria ili ajitetee na kutoa maelezo yake.
Komwe lako.Punguza mhemko Aunty Bichwaa
Umenena ila akikutwa mzima wa akili 30 ni walau 300Ameonewa. Je, walimpima akili kabla ya kumhukumu?
Hii ni KESI YA MWENDOKASI iliyochagizwa na upepo wa ushoga.Uatonekana unawatetea ila na mm nimeshanga kesi kwenda siku moja tu bila kuwahoji walio muungilia ambao wapo hai ,hao walio achwa ndio wabaya
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwanini wasema kaonewa wakati ukute amekiri?Siungi mkono ushoga lakini itoshe kusema huyu kijana AMEONEWA.na akipata watetezi na rufaa anatoka nje
Ulitaka wamuwekee vidole kama yule mwenzenu wa ZanzibarCulture Me njoo uone huyu HAKIMU WA MWENDOKASI anahukumu mtu kifungo bila kuchukua ushahidi wowote.
Yaani tu eti mtu anafikishwa mahakamani na kufungwa saa hiyo hiyo bila DUE COURT PROCESS ikiwemo ushahidi wa kidaktari.
Hii si haki kuonea watu kwa minajili ya kwenda na upepo wa ushoga.
KUKIRI kuna utaratibu wake.Kwanini wasema kaonewa wakati ukute amekiri?
Hakimu hutoa hukumu kama umekiri na ukikiri hakuna rufaa.KUKIRI kuna utaratibu wake.
Hawa walimzonga zonga, na si ajabu hata mashtaka yaliandaliwa kihuni.
Ukiiona hati ya mashtaka lazima itakuwa na madosari kibao.
Sawa kakiri lakini kwanini kumuhukumu mtu kwa uhuru wa maamuzi yake?Kwanini wasema kaonewa wakati ukute amekiri?
Sheria zipo kabla hujazaliwaSawa kakiri lakini kwanini kumuhukumu mtu kwa uhuru wa maamuzi yake?
Mwili wake,kuingiliwa kinyume kavunja sheria gani? Hizo sheria za kuhukumu mashoga zimetoka lini?
Na mbona kama zipo hawasimami hadharani kutangaza ishoga marufuku kama museven kama wanajiamini?
si afadhali angepigwa faini na adhabu kuliko kifungo,30 ni too much!
Kama ni hivo waje wakamate wakina aggrey,james delicious,lokole wanajinadi hadharani.
Cha zaidi muingiliwaji afungwe,muingiliaji aachwe huru..umemaliza tatizo hapo?
Kwanini wasikamatwe wote