Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Watu wengi wanatemwa na rufaa kwa sababu ya hukumu kama hizi.

Huyu akitekenya rufaa kidogo tu, nje kwa sababu ya hukumu za jazba!

Sishobokei tabia zao hizo lakini tunaangalia hukumu imekwenda kihalali kwa kosa husika?
Hakimu mpumbavu na mjinga sana.

Hawa ni wale MAHAKIMU WA DIVISHENI FOO wa kipindi cha JAKAYA.

Hatuwezi kuwa na mahakama ya aina hii katika JAMUHURI inayoongozwa na KATIBA. IF THIS IS TRULY A REPUBLIC, LET THE DECISION BE QUASHED AND NULLIFIED.

Mahakama ambayo inafunga watu JELA vifungo vya kikatili bila ushahidi wala utetezi. Mahakama inayoendeshwa kwa MIHEMKO na HISIA BINAFSI ZA HAKIMU ASIYE NA ELIMU YA SHERIA. HAPANA.

Huyu hakimu anaendeshwa na mihemko na upepo wa ushoga.

Haijalishi mtu amefanya dhambi kiasi gani, ni lazima apewe fursa inayokubalika kisheria ili ajitetee na kutoa maelezo yake.
 
Hakimu mpumbavu na mjinga sana.

Hawa ni wale MAHAKIMU WA DIVISHENI FOO wa kipindi cha JAKAYA.

Hatuwezi kuwa na mahakama ya aina hii katika JAMHURI inayoongozwa na KATIBA.

Mahakama ambayo inafunga watu JELA vifungo vya kikatili bila ushahidi wala utetezi. Mahakama inayoendeshwa kwa MIHEMKO na HISIA BINAFSI ZA HAKIMU ASIYE NA ELIMU YA SHERIA. HAPANA.

Huyu hakimu anaendeshwa na mihemko na upepo wa ushoga.

Haijalishi mtu amefanya dhambi kiasi gani, lakini lazima apewe fursa inayokubalika kisheria ili ajitetee na kutoa maelezo yake.
Punguza mhemko Aunty Bichwaa
 
Uatonekana unawatetea ila na mm nimeshanga kesi kwenda siku moja tu bila kuwahoji walio muungilia ambao wapo hai ,hao walio achwa ndio wabaya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii ni KESI YA MWENDOKASI iliyochagizwa na upepo wa ushoga.

KESI ambayo haina ushahidi wala utetezi, yaani ni chap chap tu hakimu akaona usinizingue namaliza kesi kienyeji as long as nakuchukia.

Hapana.
 
Bora wanyongwe tuu mbwa hao huko jela wanaenda kua wake za watu unakua hujaondoa tatizo nyonga hadharani washenzi kabisa hao
 
Culture Me njoo uone huyu HAKIMU WA MWENDOKASI anahukumu mtu kifungo bila kuchukua ushahidi wowote.

Yaani tu eti mtu anafikishwa mahakamani na kufungwa saa hiyo hiyo bila DUE COURT PROCESS ikiwemo ushahidi wa kidaktari.

Hii si haki kuonea watu kwa minajili ya kwenda na upepo wa ushoga.
Ulitaka wamuwekee vidole kama yule mwenzenu wa Zanzibar

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUKIRI kuna utaratibu wake.

Hawa walimzonga zonga, na si ajabu hata mashtaka yaliandaliwa kihuni.

Ukiiona hati ya mashtaka lazima itakuwa na madosari kibao.
Hakimu hutoa hukumu kama umekiri na ukikiri hakuna rufaa.

Kama asingekiri asingehukumiwa bila ushahidi kufikishwa mahakamani
 
Kwanini wasema kaonewa wakati ukute amekiri?
Sawa kakiri lakini kwanini kumuhukumu mtu kwa uhuru wa maamuzi yake?
Mwili wake,kuingiliwa kinyume kavunja sheria gani? Hizo sheria za kuhukumu mashoga zimetoka lini?
Na mbona kama zipo hawasimami hadharani kutangaza ishoga marufuku kama museven kama wanajiamini?
si afadhali angepigwa faini na adhabu kuliko kifungo,30 ni too much!
Kama ni hivo waje wakamate wakina aggrey,james delicious,lokole wanajinadi hadharani.

Cha zaidi muingiliwaji afungwe,muingiliaji aachwe huru..umemaliza tatizo hapo?
Kwanini wasikamatwe wote
 
Sheria zipo kabla hujazaliwa

154-158 imeandikwa vizuri

Kuanzia kuingilia, Kuingiliwa, Kunajisi Wanyama etc
 
Back
Top Bottom