HahahahahahaAtafungwa sero ya peke yake au atachanganywa na wengine?! Atapewa matibabu yoyote? Atapewa Nasaha ili aachane na vitendo vya kishoga?! Atapewa msaada wa kiroho hiyo roho ya ushoga aachane nayo kabisa arudi kwenye Uanaume wake?
KabisaIssue sio ridhaa,shida ni hilo tendo lenyewe ndio limepigwa marufuku na kutungiwa sheria ,we are Africa na tuna tamaduni zetu na sheria zetu ,bill of human right hapo ndipo kuna kichaka cha kupitisha mila ngeni kwetu hiyo bill of human right tuliweka kwenye katiba yetu mwaka 1985 lkn haijatoa justification kuwa mashoga wapewe haki ingawa imesema haki ya faragha lazima iheshimiwe tuliacha hilo hatutakuwa na kizazi na ndio maana penal code inasema crime against nature
Duuh sadYes miaka 22
Hii ndio laana inayopelekea umasikini na majanga yote duniani. Tena serikali kama ingeweza iachane na harakati zote ipambane na hawa wajinga tu, tutaona mambo mengine ya baraka yatakavyofunguka.Ndio.
Kwani mqundu si wa kwake? Badala wapambane na umasikini na rushwa wanawekeza nguvu kubwa kuingilia mambo ya faragha ya mtu mmoja mmoja kwanini? Mbona tunasikia watu wanaiba mabilioni na wanaachwa tu ila wanahangaika na mashoga
🐕Wanaume mna sehemu yenu maalumu huko juu. Uache mwanamke ukamchukue huyu na hapo alikuwa mawindoni na wateja anapata.
Kilio changu bado kiko palepale wanaowaingilia, nao wapewe 30 yao. Hivi vitendo havitakwisha, kama mabasha yanabaki uraiani. Kwanini msiwabane, wataje mabasha zao?
sela lina sura kavu, wanaolila wana moyo,😂hili huenda hata linawageuzaHili lakupiga shaba
Wamefanya vile ili iwe funzo kwa mabwabwa wengine.. ...wakiona yaliyomkuta mwenzao yatafanya kwa faragha au kuacha..hii italeta salama kwa watoto .... .. ! .. ..wanaushawishi kwa vijana wadogo Sana.. .. mawakala wazuri!Mimi nimefuatilia tangu huyo dogo anadhalilishwa kwenye MAKAMERA. Ni uonevu mtupu.
Huwezi kummulika mtu na makamera unamuhoji huku unamrekodi mitandaoni na kumpiga na mawe. KWA HAKI IPI AMA UTAKATIFU UPI?
Nchi ya ajabu sana ambapo wahuni wanafanya tukio la kuumiza mtu na wanapongezwa kisha muhanga anafungwa jela.
Kwa saikolojia ya yule dogo, kwa kudhalilishwa na kuumizwa kihisia na kiakili tangu alipokamatwa, ni wazi alikiri kosa kwa sababu ya kutokuwa sawa. Alishachakazwa kiakili.
Ameonewa sana sana sana, na akimlilia mungu wake, mliohusika mtapata karmic pay back yenye maumivu makali sana.
Ni bora mtengue mlichokifanya.
Sawasawa kabisa.Wamefanya vile ili iwe funzo kwa mabwabwa wengine.. ...wakiona yaliyomkuta mwenzao yatafanya kwa faragha au kuacha..hii italeta salama kwa watoto .... .. ! .. ..wanaushawishi kwa vijana wadogo Sana.. .. mawakala wazuri!
We naye umesoma UD ila unashindwa elewa vitu rahisi kama hiviSio yangu Ila hatutaki choko humu. Tutachunguza kama hii id ni ya cocastic, tukibaini basi jua kinachofata ni kukimbizwa humu
Ndo hivyo amsi anatetea machokoKwamba umfukue tope [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Beberu ni mtetezi wa wasio na akili . Nakubaliana na weweHii habari lazima imfikie beberu na lazima atakunjua makucha na huenda akatolewa nje......
Tunahisi hivyo 🤣🤣🤣🤣Hii ni kama ID mpya ya cocastic?
Kama ni wewe basi jua tutakupelekea tena Moto mpaka ukimbie au ukimbizwe jf. Choko hana tena nafasi jf
Kwani ile ya kwake imepigwa ban?Tunahisi hivyo 🤣🤣🤣🤣
Pongezi kwa mahakama kwa kuifuata sheria
Ninyi wengine mnaodai mna hisia na wanaume wenzenu/wanawake wenzenu mjue ya kwamba hakuna Natural occurring creature anakuja na mambo hayo ya kuvutiwa na jinsia yake. "Mmetengenezwa"
Hakun beberu mwenye hisia na beberu mwenzie ama tetea kwa tetea mwenzie. Kwanini kwa binadamu itokee hivyo ??(Sisi Ni sehem ya wanyama )
jaribuni kufikiri
Walomuongilia wako Sawa?