Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Sijui watamuweka gereza la wanaume au wanawake maana anaenda kuwa demu wa mtu tena
 
Je Tanzania kuna sheria ya kuwafunga mashoga?.
 
Culture Me njoo uone huyu HAKIMU WA MWENDOKASI anahukumu mtu kifungo bila kuchukua ushahidi wowote.

Yaani tu eti mtu anafikishwa mahakamani na kufungwa saa hiyo hiyo bila DUE COURT PROCESS ikiwemo ushahidi wa kidaktari.

Hii si haki kuonea watu kwa minajili ya kwenda na upepo wa ushoga.
 
Nimeitafuta post inayosema mambo haya yapo zanzibar, tanga, Mombasa na dar tu mpaka sasa sijaiona.

Nimezitafuta posts zinazosema kuwa hili si janga la kitaifa bali ni la maeneo ya pwani na yale waliyopita waarabu tu basi kwani maeneo tofauti na hayo hakuna kabisa habari hizo, sijaziona mpaka sasa....nimechoka naenda kulala.

Nitajaribu tena kesho!!!
 
Sijui watamuweka gereza la wanaume au wanawake maana anaenda kuwa demu wa mtu tena
Sijui watamuweka gereza la wanaume au wanawake maana anaenda kuwa demu wa mtu tena
Hakuna Mwanamke wa aina hiyo na Hakuna Mwanaume wa aina hiyo

Ila bado ataendelea kutambulika kama Mwanaume no matter what..ata akifa atazikwa kwenye makaburi ya Wanaume
 
Ninatoa rai muache kuonea watu kwa minajili ya kwenda na upepo wa ushoga.

Huwezi kumuhukumu mtu siku hiyo hiyo SUMMARILY bila kuzingatia ushahidi wa kidaktari na wa kitaalamu.

Kuvaa nguo za kike sio kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za nchi.
Huu ni uonevu.

This is an equivocal plea of guilty taken under DURESS and INTENSE PRESSURE. MSIONEE WATU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…