Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Haya mambo ya kutetea hawa ndio yanakera, sema kwa kuwa umeshakua shemeji ngoja nikae kimya tu.
Shemuu wee nae, mambo mengine usiyafuatulie bhana. Yaache km yalivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mashoga wengi wana halibiwa na ndugu zao, unakuta wanafanyiwa uhalibifu tangu wakiwa wadogo na wale tunao waita baba,kaka,mjomba,marafiki.unampokea mgeni nyumbani kwako una mlaza chumba kimoja na wanao matokeo yake ana anza kuwalawiti na kuwa geuze wake zake. kama vipi migeni mingine ni kuikaushia tu ,sio inajilundika kwako matokeo yake ina haribu watoto wako.N.B hakuna anayezaliwa akiwa shoga hata siku moja
 
Bado kuna mwengine hapa jf anaitwa cocastic mpigeni mvua na yeye aende kuliwa na nyapara
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata huyo mwenyewee alishatoka kitambooo anakula dona la uhuru nymbani kwake.

Mie bado nipoo sanaaa, mxxieeew.
 
mashoga wengi wana halibiwa na ndugu zao, unakuta wanafanyiwa uhalibifu tangu wakiwa wadogo na wale tunao waita baba,kaka,mjomba,marafiki.unampokea mgeni nyumbani kwako una mlaza chumba kimoja na wanao matokeo yake ana anza kuwalawiti na kuwa geuze wake zake. kama vipi migeni mingine ni kuikaushia tu ,sio inajilundika kwako matokeo yake ina haribu watoto wako.N.B hakuna anayezaliwa akiwa shoga hata siku moja
Tutafunga wagonjwa.[emoji24][emoji24][emoji24]
Heri wafungwe mabasha!; walevi kaení chonjo mabasha wapo huru...
JamiiForums211776221.jpg
 
Tutafunga wagonjwa.[emoji24][emoji24][emoji24]
Heri wafungwe mabasha!; walevi kaení chonjo mabasha wapo huru...View attachment 2657539
kabisa mkuu ,mi naona wangekuwa wana kamatwa mashoga wana banwa mpaka wana wataja mabasha wao wanawekewa mtego mpaka wana kamatwa.huwezi kukomesha tatizo wakati chanzo cha tatizo hujakithibiti,sote tuna jua chanzo cha ushoga ni mabasha kwanini wasikamatwe?
 
Huyo victim hata kwa macho ya nyama ana changamoto ya Afya ya Akili.[emoji24][emoji24]
 
Alishatokaa huyu, ni mgonjwa wa akili, ila vijana wahuni na wavuta bangi ndo wakawa wana muingilia kwa nguvu.

Alisha achiwa huru.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
Tunasubiri hao wahuni na wavuta bange washughulikiwe!
Nina hakika Serkali ina mkono mrefu watakamatwa tu sababu alieonja asali huwa anachonga mzinga
 
Mabasha huku hawawezi kamatwa, labda wawatumie mashoga ndo kukamata hao mabasha.
 
Back
Top Bottom