Mbeya: Wananchi wajitokeza kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari

Mbeya: Wananchi wajitokeza kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari

Tutashitukia baglashia na hizblaa zimejaa bandari I ndio furaha yako wala hakuna Cha weledi hapo.Mama amewapa Bure bure
Hao DPW wamefanya kazi hadi UK sasa sisi ni nsni hadi tuogope?
 
Rostom Aziz amesema hakuna

mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi

Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip Mwakilima, wakisema mkataba huo hauna maslahi kwa Taifa na haujashirikisha maoni ya Watanzania ili kuuridhia kati yake na kampuni ya DP World ya Dubai.

Naamini haki itatendeka,

Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?

Shida vipengele vya mkataba mkuu.....!
 
Back
Top Bottom