msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,141
Mkuu watendee haki mende,
Unajua mende wa ufilipino na mashariki ya mbali wanaweza kujua tetemeko la ardhi siku tano kabla ya tukio. Mende wana akili mkuu.
Nashukuru mkuu kwa mchango mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu watendee haki mende,
Unajua mende wa ufilipino na mashariki ya mbali wanaweza kujua tetemeko la ardhi siku tano kabla ya tukio. Mende wana akili mkuu.
Chama cha Mizigo, madiwani wa maCCM wanakuwa na matatizo gani?
Wangelipiza kwa diwani husika, "wangemmabina" kwa watoto wake wamekosea sana japo ujumbe umemfikia akiwa hai.
Poleni wafiwa ila huyo diwani wammabina fasta...
Acha kushabikia ujinga.
Mkuu wangu Idawa nadhani kuna sehemu unachanganya mambo, hasa kwenye heading...
Watu wasiojulikana hawawezi kuwa wananchi wenye hasira...Wananchi wenye hasira ni kama wale wa Kisesa-Magu waliomponda kwa mawe Clement Mabina hadi kuuawa...
Na hao wa Tunduma kama walikuwa na hasira na Diwani aliyewadhulumu wangemshambulia yeye na kumdhuru lakini si kuvizia baba na mama hawapo kisha wanamchinja mtoto mdogo wa umri wa miaka 6 na kumnyonga kwa waya msichana wa kazi...Kimsingi aliyechinjwa ni mtoto mdogo wa miaka 6 na aliyenyongwa ni msichana wa kazi wa Diwani huyo...
Si vibaya ukaweka heading kuwa 'Watu wasiofahamika wawaua watoto wawili wa Diwani wa CCM'...
Kwani CHADEMA kujilipua ndiko kungezuia wanachadema kufa? Bomu halina Macho! Wahuni wachache wa CHADEMA waliamua kufanya hivyo wakidhani kuwa ndio kukuza Chama, Mauaji dhidi ya watanzania na binadamu wengine yakemewe kwa NGUVU zote.Wewe uliposhabikia kwa kusema Pale Soweto CDM wamejilipua wenyewe ulikuwa unamaanisha nini je wale waliokufa haukuona kama ni binadamu? na hata juzi sikuona wewe ukisikitika kwa MABINA kumuua yule kijana wa miaka 12 bali ulisikitika kwa mabina kupigwa mawe hadi kufa na ukilaumu eti wamejichukulia sheria mkononi na kulaani kwa nguvu zote NGUVU YA UMMA Tambua kuwa MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU.
Hiyo nayo ni akili?
Wakapimwe mirembe hao
Siasa zisitupeleke huko jamani
Hatari ni hao waliogeuza mahakama kuwa zao na kupindisha sheria kila uchao kwa manufaa yao
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.
Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.
Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi,kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.
Hizi ni dalili za kuchoshwa hasa pale vyombo vya usalama vinapokuwa havitendi haki
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.
Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.
Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi,kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.
Mungu wangu ..watoto wasiokua na hatia
Mkuu wangu Idawa nadhani kuna sehemu unachanganya mambo, hasa kwenye heading...
Watu wasiojulikana hawawezi kuwa wananchi wenye hasira...Wananchi wenye hasira ni kama wale wa Kisesa-Magu waliomponda kwa mawe Clement Mabina hadi kuuawa...
Na hao wa Tunduma kama walikuwa na hasira na Diwani aliyewadhulumu wangemshambulia yeye na kumdhuru lakini si kuvizia baba na mama hawapo kisha wanamchinja mtoto mdogo wa umri wa miaka 6 na kumnyonga kwa waya msichana wa kazi...Kimsingi aliyechinjwa ni mtoto mdogo wa miaka 6 na aliyenyongwa ni msichana wa kazi wa Diwani huyo...
Si vibaya ukaweka heading kuwa 'Watu wasiofahamika wawaua watoto wawili wa Diwani wa CCM'...
huo ni ujumbe tosha kwa huyo diwani kwamba BADO YEYE-- baada ya watoto kuuawa, itafuata zamu yake--hili ni funzo zuri sana kwa mafisadi wenye tabia kama zake.
Juma lililopita tu, a prominent party leader alimuua kijana na bastora alafu naye akauawa. Nilichosikia ni kuwa waliomuua ni 'wananchi wenye hasira' huku nikiwa sina uhakika kama naye 'alikuwa na hasira' kwa kumuua kijana!
Sasa wale wanaosema 'ni upepo tu utapita' mbona huu wa sasa unaonekana kuwa na nguvu kali hata zaidi ya tufani!?
Tunaelekea kubaya ambapo muda sio mrefu tutashindwa hata kusimulia maana tunavichekea vyanzo vya matatizo kwa kudhani kuwa tutatatua matatizo yenyewe1