Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshanunua mbuzi kesho namchinja na kusherekea kwa vinywaji,yani mungu katupa pasaka 2Kama jitu limeua ndugu zangu,limeua wazazi wangu,limeninyima haki ya kuchagua viongozi ninaowapenda,linaua watu kwa kudai kuwa hakuna Corona na kukejeli wanaovaa barakoa,linaua biashara,linaminya uhuru wa kujieleza,linateka watu na kuwaua na kadhalika likifa lazima nifanye sherehe.
hizi kesi za kuku na bata. okay si jambo jema lakin si wote wanasikitika kifo cha mzee wetu jpm RIP.Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi
View attachment 1733905
mdadavue kidogoDuuuuu Jamaa mmoja hapo katika hao ninamfahamu Asifiwe Mwasaga ni dereva wa magari ya mizigo yanayopaki Mwanjelwa karibu na sheli ya Chipukizi.
Mimi tokea Huu Msiba uanze nimeburudika na vinywaji mbalimbali nimefanya karamu nzito sijaona askari kujipendekeza
Kikwetu kama Marehemu ana mtoto na mke tunachinja dume siku ya kumrestisha na pombe za kufa mtu.Mimi kwetu uyahudi kila mtu afaye na umri wa zaidi ya miaka 60 huwa tunafanya sherehe hata kama Mimi nipo Peke yangu ugenini maadam aliyekufa nimempa hadhi ya Uyahudi lazima nifurahi ati
Moja ya viongozi wajinga kabisaArasii Charamira kwenye ubora wake..
Pathetic.
Kwani Raisi wetu unataka kumlinganisha vitendo vyake kama Iddi Amini kwa watu wengine?Kazi ya serikali ni kupangia watu hisia?.mbona wao walikuwa wanatufundisha nyimbo mashuleni walizoziitikadi kuwa za kizalendo kuwa "Idd Amin akifa me siwezi kulia,nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba"?.
Au Amin hakuwa mtu?hakuwa rais?
Sijawahi kuuwa hata sisimiziNa wewe ukifa watu watafanya sherehe.
Ndio karma ilivyo.