Yaani Mimi sijui nawakera maana Kila siku nafanya sherehe jambazi limekufa na sijawahi kujuta wala kusikitika kifo cha Dikteta uchwara. Apandacho mtu ndicho atakacho vuna. Kwa kuwa alipanda jeuri na ukatili miomgoni mwa watu na sisi tunamchumia mazao aliyo yapanda.
Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kazi ya serikali ni kupangia watu hisia? Mbona wao walikuwa wanatufundisha nyimbo mashuleni walizoziitikadi kuwa za kizalendo kuwa "Idd Amin akifa me siwezi kulia, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba"?.