Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

Yaani Mimi sijui nawakera maana Kila siku nafanya sherehe jambazi limekufa na sijawahi kujuta wala kusikitika kifo cha Dikteta uchwara. Apandacho mtu ndicho atakacho vuna. Kwa kuwa alipanda jeuri na ukatili miomgoni mwa watu na sisi tunamchumia mazao aliyo yapanda.
Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Kwani hapo Hotel Desderia hakumshangilia? Maana mlijua kiboko ya wazembe na mafisadi ametoweka.
Jizi la kura lenye PhD ya udanganyifu. Kufa kwa mtu muovu ni furaha na faraja kwa wananchi walioonewa
 
Watu gani wanaofurahia?
Waoooo
IMG_20210326_110639.jpg
 
Kazi ya serikali ni kupangia watu hisia? Mbona wao walikuwa wanatufundisha nyimbo mashuleni walizoziitikadi kuwa za kizalendo kuwa "Idd Amin akifa me siwezi kulia, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba"?.

Au Amin hakuwa mtu?hakuwa rais?
Aloooooo,hatari na nusu
 
Back
Top Bottom