Majengo, Uswahilini, Nonde etcHizo nyumba ziko mbeya maeneo gani
Blok t,forest,blok q,uhindini,ghana au
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majengo, Uswahilini, Nonde etcHizo nyumba ziko mbeya maeneo gani
Blok t,forest,blok q,uhindini,ghana au
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sasa wangapi wanaweza kuishi Iwambi, block T na Soweto mkuu. Nadhani hukuelewa point yangu hata Dar watu wote hawaishi Masaki lakini ukienda maeneo mengine unaweza kuishi na ukajihis upo jijini, Arusha vilevile sio wote wanaishi Njiro ila hat ukienda Ngaramtoni utajihisi upo jijini, Mwanza sio wote wanaishi Isamilo au Capripoint, hata ukiwa Buhongwa bado utajihis upo jijini. Nimeishi majiji karbu yote ya Tanzania ila kiukweli lile jiji la Mbeya linaangushwa na nyumba za udongo ambozo ndio asilimia kubwa ya nyumba zilizolizungunga jiji.mh! hizo nyumba nzuri ulikua unatafuta wapi?.kama ulikua unatafuta kwetu ilemi, iyela, sinde, ikuti, iyunga,nzovwe, simike,Isanga huwezi kuzikuta. Ila ukiwa na bajeti ya 200k-300k kwa mwezi unapata apartment kali maeneo ya ituha,isyesye, block T, Soweto, Forest, Iwambi.