Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza mlango mmoja vs mabatini Igogo/ Buzuruga! Hali ikoje?Acha utani wewe labda Kama hujaizunguka kariakoo. Kariakoo Kuna nyumba kadhaa za tope pamoja na barabara za mchanga/matope.
Hizo nyumba ziko mbeya maeneo gani
Blok t,forest,blok q,uhindini,ghana au
Ova
Kwa hili nawapa heko, nilishangaa kuona nyumba za tope mjini ndani, yaani CBDA ya mji mkuu wa Dodoma, zimesimama pembeni mwa majengo ya maghorofa ya miji....
![]()
WENYE NYUMBA ZA TOPE MBEYA MJINI KUHAMISHWA
HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya imeagizwà kuwahamisha watu ambao nyumba zao hazipo kwenye mpangilio wa mipango miji na kuwapatia viwanja vingine pembezoni mwa mji.
Agizo hilo lilitolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja wakati akizungumza na Madiwani pamoja na watendaji wa halmashauri hiyo katika mkutano wa Baraza la Madiwani.
Mtunguja alisema jiji la Mbeya bado haliendani na hadhi ya kuitwa jiji kutokana na hali ilivyo kwenye mpangilio wa makazi.
“Niaibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope, kila Nyumba na langi yake, halafu jiji mnawatalaam wa mipangomiji ambao wanaweza kushauri namna bora ya kupanga makazi yetu na tukawa na jiji linalo vutia kama ilivyo majiji mengine,” alisema.
Kila mtu ataimba haleluyaalisema Lisu mkamdhihaki.
Kwa kweli wananchi wa Mbeya wako nyuma sana katika kujenga nyumba bora.Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani .
"Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema .
mbeya ni jiji kabla ya dodomaWaanze na Dodoma kwanza
Sasa mkuu zile nyumba zina shida gani? Labda wawaambie wapige lipu ila zile nyumba ni bora na ngumu balaa. Zingine zina miaka zaidi ya hamsiniIle Simike yote zile nyumba si ni tofali za udongo zile hazijachomwa...
Kule Nzovwe, mitaa ya nyuma ya Mafiat hapo sijui wanakuita Mwenge au Makunguru, kule Majengo, Nonde n.k
Nadhani ingeshauriwa watumie matofali ya kuchoma hala kama wasipochapia (piga lipu)...Na ujenzi wa hayo matofali choma uwe uniform na smart.Sasa mkuu zile nyumba zina shida gani? Labda wawaambie wapige lipu ila zile nyumba ni bora na ngumu balaa. Zingine zina miaka zaidi ya hamsini
Mbeya tofali za kuchoma huwa zinapukuchika. Hazidumu. Zile za Rungwe na Mbozi ndiyo ngumu. Huwezi amini ila kuna watu wanauwezo wa kujengea hizi za kuchoma lakini wanatumia za tope sababu ya uimara.Nadhani ingeshauriwa watumie matofali ya kuchoma hala kama wasipochapia (piga lipu)...Na ujenzi wa hayo matofali choma uwe uniform na smart.
Ukienda nchi kama Zambia, Zimbabwe na nyinginezo za kusini mwa Afrika, nyumba zao nyingi hutumia hizo tofali choma lakini hujengwa vizuri kiasi kwamba hata huwa hawachapii...
Hata nchi za Ulaya, Australia na Amerika, mathalani ukiwa Chicago nyumba nyingi zimejengwa kwa kutumia hizo tofali (ingawa kwa wazungu structure ya nyumba huwa ni mbao) kwa nje wapo wanaojenga hizo tofali kufunika structure ya mbao.
![]()
90% ya nyumba nyingi jijini Mbeya zimejengwa Kwa tofali mbichi na matope na kupigwa plasta na cement na rangi. Jiji la ajabu kuwahi kutokea TanzaniaAgizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani.
"Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema.
Mtunguja, umenikumbusha ukiwa Barabarani kutokea bwanga wakati unaingia chatoAgizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani.
"Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema.
Tumesema mara nyingi humu kwamba shetani hana rafikiRais wa Mbeya kaondolewa. Shikamoo Ccm