Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

Nyumba za udongo hazifai popote pale, tunahitaji makazi bora sio maneno tuutuu... viongozi waje na vitu vinavyotelelezeka
Vitu gani sasa?? Au hujamuelewa mleta maada hapa?? Nyumba hizo, nimakazi ya watu kihalaliii, shida nikwamba, bilashaka wamiliki wa nyumba hizo hawajawa na uwezo wa kujenga za kisasaa. Ndiomaana tunashauri wawauzie wenye uwezo,iliwao wakajenge pengineee.
 
Tatizo kubwa lilopo Tanzania huwa hatujuagi kutatua matatizo.huwa tunatatua matatizo kwa kuongeza matatizo.
Yaap.Nakubaliana na wewe, hao ndio viongozi wa sasa wengi sana tulio nao leo.Hawawezi kabisa kabisa kabisa kutatua tatizo bila kusababisha tatizo tena kubwa kuliko alilokuwa akijaribu kulitatua.
 
kuna ugumu gani kama nchi iko uchumi wa kati ?
Tatizo nchi ina wrong distribution of financial resources, Ukweli unabaki Tanzania ina matajiri wengi ikizidiwa na África ya kusini tuu kwa kusini mwa Ikweta.

Na wasipo waangalia kuna siku watavamia majumbani kwa wanao wadhania ndio matajiri.

Leo Watanzania ambao ni Dollar millionaires wamefika 7200.

Kuna tatizo sehemu fulani, na yawezekana hata magufuli akiondoka ndio itakuwa taabu zaidi kwa kuwa opportunities zitavamiwa na wenye hali nzuri leo.
o
 
Hizo nyumba ziko mbeya maeneo gani
Blok t,forest,blok q,uhindini,ghana au

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ile Simike yote zile nyumba si ni tofali za udongo zile hazijachomwa...

Kule Nzovwe, mitaa ya nyuma ya Mafiat hapo sijui wanakuita Mwenge au Makunguru, kule Majengo, Nonde n.k
 
Nyumba za udongo hazifai popote pale, tunahitaji makazi bora sio maneno tuutuu... viongozi waje na vitu vinavyotelelezeka
Hata ukienda dar, ukifika mtaa wa ufipa, kuna jengo moja eti nimakao makuu ya chama flani, kwakweli hilojengo nalo liondolewe haraka saaanaa
 
Kwa hili nawapa heko, nilishangaa kuona nyumba za tope mjini ndani, yaani CBDA ya mji mkuu wa Dodoma, zimesimama pembeni mwa majengo ya maghorofa ya miji....

147078419_2201935233279842_6514764227527779856_n.jpg


WENYE NYUMBA ZA TOPE MBEYA MJINI KUHAMISHWA
HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya imeagizwà kuwahamisha watu ambao nyumba zao hazipo kwenye mpangilio wa mipango miji na kuwapatia viwanja vingine pembezoni mwa mji.

Agizo hilo lilitolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja wakati akizungumza na Madiwani pamoja na watendaji wa halmashauri hiyo katika mkutano wa Baraza la Madiwani.
Mtunguja alisema jiji la Mbeya bado haliendani na hadhi ya kuitwa jiji kutokana na hali ilivyo kwenye mpangilio wa makazi.
“Niaibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope, kila Nyumba na langi yake, halafu jiji mnawatalaam wa mipangomiji ambao wanaweza kushauri namna bora ya kupanga makazi yetu na tukawa na jiji linalo vutia kama ilivyo majiji mengine,” alisema.
 
Back
Top Bottom