Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mh Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani .

" Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema .
Mbeya wamezidi.
Karne ya 21 nyumba ya tope jijini?
Masopakyindi jitetee!
 
Kariakoo hamna nyumba ya tope, Kwa Mbeya kweli ni aibuuu
Za Kariakoo Zipo za Tope ila Nje Zimechapwa Plasta huwezi Jua.. Nakumbuka Nyumba ya Udongo ya Mwisho ilikuwepo Mtaa wa Muheza baadae pakageuzwa nyumba Banda la Mpira kisha pakabomolewa Likajengwa ghorofa kubwa miaka ya 2000-2005.

Kuna baadhi ya maeneo vijumba hivyo vimejificha ficha sikumbuki sehemu kuna uzio na vichumba chumba kibao maeneo ya fire Msimbazi kuna Garden - Lumumba kuna Garage and kuna omba omba wanalala usiku kama nilishaona kijumba
 
Mbeya zile Nyumba zenye bati za Madebe nilienda mwaka 2017 nilishangaa sana bado zipo last time niliziona miaka ya mwishoni 70's
 
Watalipwa fidia au ndiyo watafukuzwa kwa kutumia polisiccm?
Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mh Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani .

" Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema .
 
Nadhani mbeya ni Kati ya miji yenye nyumba nyingi za tope. Ila uwekwe utaratibu mzuri kwa wamiliki wasifukuzwe

Maendeleo hayana vyama
Mbeya nmekaa nmepiga sana debe hko enz za magari chai maharage alaf nlikuw chali sana

Tikirud kwenye mada,akiwafukuza atawapeleka wapi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hizo nyumba ni imara sana. Aache ushamba na asikariri kuwa nyumba za tofalu mbichi ni mbovu. Kuna nyumba hapo zinakaribia miaka mia na tifali ni mbichi.
Wanaongelea nyumba za tope lipi??!!Kama zile tofar mbichi Mbeya Basi aachane nazo tu!nyumba ya mzee wangu now Ina miaka 35 haijawahi tetereka hata ufa tu!!!.
Kwa Mbeya tope ni imara Sana,na ndio maana msingi wa mawe tunajengea tope!!
 
Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mh Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani .

" Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema .
MITANO TEEENAAAAA
 
Back
Top Bottom