mh! hizo nyumba nzuri ulikua unatafuta wapi?.kama ulikua unatafuta kwetu ilemi, iyela, sinde, ikuti, iyunga,nzovwe, simike,Isanga huwezi kuzikuta. Ila ukiwa na bajeti ya 200k-300k kwa mwezi unapata apartment kali maeneo ya ituha,isyesye, block T, Soweto, Forest, Iwambi.