PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.

Screenshot_2025-03-23-15-44-07-1.png

Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.

Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.

Screenshot_2025-03-23-15-43-52-1.png

===========

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu akipokewa na viongozi na wafuasi wa chama hicho alipowasili kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kuzindua kampeni ya 'No reforms, no election' leo Jumapili, Machi 23, 2025.

Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA.Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.
 
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
mipumbavu ya ccm bhana yan ww mwendawazimu unawafundsha chadema namna ya kufanya siasa ili kukabiliana na mijizi jizi ya taifa hili maccm na machawa kama wewe.
 
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.

Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.

Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.

Usiondoke JF
===========
agenda ya kwanza si kuomba pesa kwa mtindo tone tone au bado watu hawajajaa? :pulpTRAVOLTA:
 
Muulize makala virusi vya MPOX na ebola vinauzwa maduka gani tunataka kununua sis wananchi!
Muilize hivyo virusi vya kununua vinawapata wana ccm tu au hata hao wanunuaji?
Akikujibu tunaomba majibu yake
Leo nyagi na nyama zitapata tabu sana Mbeya,
mpaka hao vibaka wa siasa warudi dar matone matone yote yatakua yamekauka dah! :pulpTRAVOLTA:
 
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu.
😂
Dah 🙌 shughuli zipi hizo zitakazohitimishwa saa 6 mchana kupisha huo mkutano?

Anyway, vp umeme upo? Mana niliona post ya tanesco kuzima umeme mkoa huo.
 
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.

Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.

Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.

Usiondoke JF
===========
Mnazindua kampeni kwa Hela za kuomba omba
 
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Hakuna mpiga kura aliyewahi kuichagua ccm, ndio maana wanaengua wapinzani na kuua kila mgombea wa upinzani.

Wanaojiandikisha wanatafuta vitambulisho kwa ajili ya mambo yao
 
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.

Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.

Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.

Usiondoke JF
===========
Na mwaka huu mmerikani kachomoa betri

Tuzidishe maombi
 
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Ila chadema cjui wanakwama wapi, ccm ilivyomtangaza samia kuwa mgombea ety wao wanabaki kulalamika kuwa muda haujafika 😂

Hawa ccm n kwenda nao hatua kwa hatua, kama sasa hv kwenye kujiandikisha chadema nao walipaswa kuhamasisisha wanachama wao kujiandikisha, ila wao wanajiona wataalam zaidi, mwisho wa siku wanakuja kulialia wameibiwa kura hvy watu tuandamane ili wao waingie serikalini 😂
 
Back
Top Bottom