Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Unawashwa, Mbowe ni mstaafu, ataonekana kwa matukio maalum tu na kwenye vikao vya kamati kuu kama mjumbe.Mbona Mbowe simuoni??
Unawashwa, Mbowe ni mstaafu, ataonekana kwa matukio maalum tu na kwenye vikao vya kamati kuu kama mjumbe.Mbona Mbowe simuoni??
Tuchukulie kwamba humu JF hatuandiki vitu kwa kufuata taratibu za uandishi, ila unataka kuniambia Dr, ujumbe hujaupata?Unaelewa tofauti ya PhD na phd? Kwanza tuanzie hapo.
Kwahy madj wanahujumu mkutano?
Mama lazima atoke Ikulu 🔥
Ah sasa ndo ufananishe enzi za Kawawa na enzi za sasa mkuu 😂..sijasema kwamba wanahujumu, ila mambo wanayoyafanya hayana viwango.
..ma-dj wawaache wahutubiaji waongee bila kuchombeza au kuwakatisha kwa vionjo na vimulemule.
..Nyerere, Karume, Rashidi Kawawa,...hotuba zao zilikuwa hazikatishwi na vimulemule vya ma-dj.
Ah sasa ndo ufananishe enzi za Kawawa na enzi za sasa mkuu 😂