PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Hilo daftari lenu fake lililosheheni wapiga kura wanafunzi linatakiwa lifumuliwe, hakuna UCHAFUZI mwaka huu.
 
Mkutano wa kwanza umeanza kwa mafanikio makubwa sana.

Hakuna blaa blaa, hakuna wasanii ni nondo tu na wananchi wanaelewa na kufurahi.

Hongereni Chadema. Mungu azidi kuwasimamia.

..bado mikutano ya wapinzani ina kero za ma-dj wanaochombeza na kukatisha hotuba za viongozi.
 
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Baada ya uchaguzi watasema wameibiwa kura! Ahahahahaha! Kweli wajinga ndio waliwao!
 
Ila chadema cjui wanakwama wapi, ccm ilivyomtangaza samia kuwa mgombea ety wao wanabaki kulalamika kuwa muda haujafika 😂

Hawa ccm n kwenda nao hatua kwa hatua, kama sasa hv kwenye kujiandikisha chadema nao walipaswa kuhamasisisha wanachama wao kujiandikisha, ila wao wanajiona wataalam zaidi, mwisho wa siku wanakuja kulialia wameibiwa kura hvy watu tuandamane ili wao waingie serikalini 😂
NONSENSE!
 
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.


Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.

Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.


===========


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu akipokewa na viongozi na wafuasi wa chama hicho alipowasili kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kuzindua kampeni ya 'No reforms, no election' leo Jumapili, Machi 23, 2025.

Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA.Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.

Mbona Mbowe simuoni??
 
Back
Top Bottom