PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ila chadema cjui wanakwama wapi, ccm ilivyomtangaza samia kuwa mgombea ety wao wanabaki kulalamika kuwa muda haujafika 😂

Hawa ccm n kwenda nao hatua kwa hatua, kama sasa hv kwenye kujiandikisha chadema nao walipaswa kuhamasisisha wanachama wao kujiandikisha, ila wao wanajiona wataalam zaidi, mwisho wa siku wanakuja kulialia wameibiwa kura hvy watu tuandamane ili wao waingie serikalini 😂
Cdm hawaigi chochote toka ccm. Na kama unaona vipi, kwanini usianzishe chama kikafanya haya unayowashauri cdm?
 
We unazani kuna reform itafanyika Tanzani nchi ya watu wazembe namna hii. Hata wasue maisha hamna reform yoyote ya maana inayoweza kufanyika Tanzania. Watu wako tayari wahongwe visambusa wasaliti wakate wenzao wanahomola mabilioni ya fedha. Kama mtu anaweza kuwapa mamilioni ya fedha vilabu vya mpira huyo mtu mweenye hela za kuchezea namna hiyo atakuwa tayari kuachia madaraka. Hao CDM sasa hivi watavurugana ngoja mipango isukwe.,,
 
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Kujiandikisha ni kuhalalisha wizi wa kura kwa CCM. Kama phd holder unashindwa kuliona hilo maana yake kuna ubutu fulani kwenye phd yako. Uende tu VETA daktari tukanyooshe huo ubutu kidogo
 
Wajiandikishe ili waende kwenye uchaguzi upi na ili iweje...?

Kwani hao CCM kushinda uchaguzi wanahitaji waliojiandikisha..?

Wewe bado ni mjinga tu kuamini upuuzi huo...?

CCM hii ujiandikishe, usijiandikishe kwao haina maana yoyote kwa sbb kushinda kwao wala hawahitaji uchaguzi wala kujiandikisha kwako...!

Wewe nenda kapoteze muda wako huko kama mjinga na mpumbavu fulani hivi...

##NO REFORMS, NO ELECTION ndiyo itakupa jibu la maana ya kujiandikisha na hivyo thamani ya kura yako...

Jiunge kwenye movement wewe, amka, toka usingizini, acha kuwa mjinga...!!!!
No Reform no Election
 
We unazani kuna reform itafanyika Tanzani nchi ya watu wazembe namna hii. Hata wasue maisha hamna reform yoyote ya maana inayoweza kufanyika Tanzania. Watu wako tayari wahongwe visambusa wasaliti wakate wenzao wanahomola mabilioni ya fedha. Kama mtu anaweza kuwapa mamilioni ya fedha vilabu vya mpira huyo mtu mweenye hela za kuchezea namna hiyo atakuwa tayari kuachia madaraka. Hao CDM sasa hivi watavurugana ngoja mipango isukwe.,,
Wataamka mdogo mdogo
 
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.

View attachment 3280817

Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.

Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.

View attachment 3280821

Usiondoke JF
===========

Mungu ibariki Chadema
 
Dr.Slaa ni da House✌️✌️✌️🔥🔥🔥🔥
 
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.

Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.

Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.

===========

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu akipokewa na viongozi na wafuasi wa chama hicho alipowasili kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kuzindua kampeni ya 'No reforms, no election' leo Jumapili, Machi 23, 2025.

CHADEMA mpox
 
keCcm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutanoay.

Kuna wrong strtegy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Ole wake atakaye panga mstari kupiga kura mwaka huu
Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.

Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
 
Bwana John Heche Mungu amlinde huyu ni rasilimali adimu kwa ajili ya Tanzania yetu
 
Ila chadema cjui wanakwama wapi, ccm ilivyomtangaza samia kuwa mgombea ety wao wanabaki kulalamika kuwa muda haujafika 😂

Hawa ccm n kwenda nao hatua kwa hatua, kama sasa hv kwenye kujiandikisha chadema nao walipaswa kuhamasisisha wanachama wao kujiandikisha, ila wao wanajiona wataalam zaidi, mwisho wa siku wanakuja kulialia wameibiwa kura hvy watu tuandamane ili wao waingie serikalini 😂
Kwani hao wanao jiandikisha wamekuambia ni wanachama wa ccm? Huu upumbavu utakuisha lini?
 
Mkutano wa kwanza umeanza kwa mafanikio makubwa sana.

Hakuna blaa blaa, hakuna wasanii ni nondo tu na wananchi wanaelewa na kufurahi.

Hongereni Chadema. Mungu azidi kuwasimamia.
 
Back
Top Bottom