PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Leo nyagi na nyama zitapata tabu sana Mbeya,
mpaka hao vibaka wa siasa warudi dar matone matone yote yatakua yamekauka dah! :pulpTRAVOLTA:
Huna cha kujadili wewe. Unaishia kuzusha tu. Badala ya kujibu hoja mnakimbilia ebola na mpox? Mnafikiri dunia ya leo ndo ile ya 1995? Mliwadanganya watu kwamba wakichagua upinzani ni vita ya Burundi na Rwanda. ? Dunia imebadilika. Watu wanataka majibu hawataki ghiriba na uongo wa ebola.
 
Huyo kijana ni mjinga sana, nishampiga tofali kitambo
 
Kwani chadema n kanisa
Ulisoma mpala la ngapi mkuu? Unajua maana ya taasisi? Institution??
Kanisa limetumika kama mfano! Kumbe ndo mana mnafeli kwa kukariri.
Kipenseli? Hata hesabu za log zinatuwezesha kufanya decisions. Lakini kuna sehemu pameandikwa decisions making kwenye logalism?
Neno kanisa limetumika kama mfano kuifananisha cdm na taasis
 
Huna cha kujadili wewe. Unaishia kuzusha tu. Badala ya kujibu hoja mnakimbilia ebola na mpox? Mnafikiri dunia ya leo ndo ile ya 1995? Mliwadanganya watu kwamba wakichagua upinzani ni vita ya Burundi na Rwanda. ? Dunia imebadilika. Watu wanataka majibu hawataki ghiriba na uongo wa ebola.
sinaga uzushi gentleman,
wanachama wa chadema wamegoma kuchangia tone tone kwasababu wamegundua ni utapeli,
lakini pia wamepuuza no reform no elections kwasababu haina faida yoyote.

gentleman,
kama ni uzushi,
hebu waelezee wadau katika jukwaa hili kwa kifupisa,
faida za chama cha siasa kimoja tu, kujitenga na michakato ya kidemokrasia hali ya kua vyama vingine zaidi ya 20 vinashiriki michakato hiyo ya kikatiba ikiwa ni pamoja na uchaguzi mkuu? :pedroP:
 
Ila chadema cjui wanakwama wapi, ccm ilivyomtangaza samia kuwa mgombea ety wao wanabaki kulalamika kuwa muda haujafika 😂

Hawa ccm n kwenda nao hatua kwa hatua, kama sasa hv kwenye kujiandikisha chadema nao walipaswa kuhamasisisha wanachama wao kujiandikisha, ila wao wanajiona wataalam zaidi, mwisho wa siku wanakuja kulialia wameibiwa kura hvy watu tuandamane ili wao waingie serikalini 😂
Upeo wako wa kuchambua mambo ni mdogo
 
sinaga uzushi gentleman,
wanachama wa chadema wamegoma kuchangia tone tone kwasababu wamegundua ni utapeli,
lakini pia wamepuuza no reform no elections kwasababu haina faida yoyote.

gentleman,
kama ni uzushi,
hebu waelezee wadau katika jukwaa hili kwa kifupisa,
faida za chama cha siasa kimoja tu, kujitenga na michakato ya kidemokrasia hali ya kua vyama vingine zaidi ya 20 vinashiriki michakato hiyo ya kikatiba ikiwa ni pamoja na uchaguzi mkuu? :pedroP:
Demokrasia bongo 😂😂
 
Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.

Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.

Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.

Usiondoke JF
===========

Mbinu ya kishamba ya kukata Umeme Mkoa mzima wa Mbeya haijaokoa chochote.

Tanesco haiwezi kuokoa ccm
Hesabu za hovyo kabisa.....chauma wanashiriki Act wazalendo na wengineo buriani Chadema mikononi mwa Lissu!
 
Hata wanachadema wanajiandikisha,na hakuna mahali Chadema imewazuia wanachama wake kujiandikisha.
Lissu alisema mwanachadema ukiambiwa kajiandikishe, wahoji nijiandikishe kwasababu gani. Na mjibu no reform no election.
Sasa hufatilii hata mwenyekiti wako kasema nini? Mimi ningekua nyie chadema. Mtu akisema chchte nakaa kimya sijibu. Shida hamna msimamo na hamuelewi chama chenu.
 
Back
Top Bottom