Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
No reforms No Election.Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.
Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Ok baada ya reform utapiga kura na hujajiandikisha?No reforms No Election.
Hata wanachadema wanajiandikisha,na hakuna mahali Chadema imewazuia wanachama wake kujiandikisha.Ok baada ya reform utapiga kura na hujajiandikisha?
Hao wanaojiandikisha wamekuambia wataipigia kura CCM?Ok baada ya reform utapiga kura na hujajiandikisha?
mipumbavu ya ccm bhana yan ww mwendawazimu unawafundsha chadema namna ya kufanya siasa ili kukabiliana na mijizi jizi ya taifa hili maccm na machawa kama wewe.Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.
Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
agenda ya kwanza si kuomba pesa kwa mtindo tone tone au bado watu hawajajaa?Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.
Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.
Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.
Usiondoke JF
===========
Watukuja kwako!agenda ya kwanza si kuomba pesa kwa mtindo tone tone au bado watu hawajajaa?
Muulize makala virusi vya MPOX na ebola vinauzwa maduka gani tunataka kununua sis wananchi!agenda ya kwanza si kuomba pesa kwa mtindo tone tone au bado watu hawajajaa?
"Hata wakipiga kura kwingine, CCM ndiyo itakayounda serikali".Hao wanaojiandikisha wamekuambia wataipigia kura CCM?
Leo nyagi na nyama zitapata tabu sana Mbeya,Muulize makala virusi vya MPOX na ebola vinauzwa maduka gani tunataka kununua sis wananchi!
Muilize hivyo virusi vya kununua vinawapata wana ccm tu au hata hao wanunuaji?
Akikujibu tunaomba majibu yake
vibaka waende huko huko kutapeli wananchama wao kidigitaliWatukuja kwako!
πKwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu.
Mnazindua kampeni kwa Hela za kuomba ombaKwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.
Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.
Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.
Usiondoke JF
===========
Hakuna mpiga kura aliyewahi kuichagua ccm, ndio maana wanaengua wapinzani na kuua kila mgombea wa upinzani.Ccm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.
Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.
Na mwaka huu mmerikani kachomoa betriKwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La.
Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025.
Mimi mtumishi wako mwaminifu kama kawaida nitakuletea kila kitakachojiri.
Usiondoke JF
===========
Ila chadema cjui wanakwama wapi, ccm ilivyomtangaza samia kuwa mgombea ety wao wanabaki kulalamika kuwa muda haujafika πCcm inahamasisha watu kujiandikisha na leo ni siku ya mwisho nyinyi mko busy na mikutano.
Kuna wrong strategy mnafanya, hata hiyo reform ikifanyika wanaopiga kura ni waliojiandikisha.