Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

Kuweni makini wasije wakapigwa Lithium, kesi ni plan B.
Defendant ana plan Kibao
 
Hata wafike 200 kama Serikali haina nia ya kuwaachia haitawaachia.

Mmesahau kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

Mmesahau Mahakama zetu haziko huru

Pitieni hukumu ya hoja ya Mkataba wa bandari ya akina Mwabukusi muone.

Shida ya hii Nchi mihimili ya Bunge na Mahakama imemezwa na Mhimili ulijichimbia chini wa Serikali Kuu 🙌
 
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dr Slaa na wenzake , kwenye kesi ya uongo ya uhaini waliyobambikwa na serikali ya Tanzania , baada ya kujitokeza kupinga mkataba wa milele wa Bandari za Tanganyika .

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

View attachment 2719051
Mbeya mna mzuka mpaka mbaboa😆😆
 
Rais yuko huu ya katiba, hivyo sheria na mamlaka zooote zinamtii..

Hata wangeungana mawakili wote nchini hawataweza. Hatma ya akina Dr. Slaa iko mikononi na nafsini mwa rais.
 
Mama anaandamwa na zimwi lililoko nyumbani kwake.

Vunja mkataba
Vunja baraza zima la mawaziri.
Weka sura mpya zote.

Uzirudishe viraka. Weka rekodi yako maana 2025 hatuendi na wewe

Chagua kuwa Angel Merkel au Joyce Banda

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa kiboya huu. Kwa kiongozi ngazi ya Ubalozi kutishia kupindua nchi yako ni uhaini uliopotiliza.
 
Back
Top Bottom