mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Kwa jinsi mama anavyoivuruga nchi kwa kuminya Uhuru wa maoni kwa watanganyika,atarajie mambo magumu mbele yake yatakayomfanya asimalize awamu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wananyea ndoo wewe unakazania propaganda,,
Nyie ndio mliokuwa mnamwambia Slaa asijar mpo nyuma yake.
Mzee wa watu akajiropokea saiz anajuuta.
Kama humwelewi Dr Slaa hajawhi nyamazia ufisadi wenu so hajutii!
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Huwezi kulaumiwa kwa sababu kukosa akili ni ugonjwa.Wenzako wananyea ndoo wewe unakazania propaganda,,
Nyie ndio mliokuwa mnamwambia Slaa asijar mpo nyuma yake.
Mzee wa watu akajiropokea saiz anajuuta.
Ikiwezekana, wajitokeze mawakili hata 1,000, na kesi iendeshwe kwenye viwanja vya wazi, wananchi wote washuhudie jinsi tulivyo na jeshi la polisi na Serikali ya kishetani.Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dr Slaa na wenzake , kwenye kesi ya uongo ya uhaini waliyobambikwa na serikali ya Tanzania , baada ya kujitokeza kupinga mkataba wa milele wa Bandari za Tanganyika .
Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .
---
Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.
Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.
Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.
Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.
Kakojoe ulale au kacheze na watoto wenzioWenzako wananyea ndoo wewe unakazania propaganda,,
Nyie ndio mliokuwa mnamwambia Slaa asijar mpo nyuma yake.
Mzee wa watu akajiropokea saiz anajuuta.
Yeye ni mtu tu sio na sio Mungu, sisi tunalia na Mungu tu sasa tuone mwisho wakeRais yuko huu ya katiba, hivyo sheria na mamlaka zooote zinamtii..
Hata wangeungana mawakili wote nchini hawataweza. Hatma ya akina Dr. Slaa iko mikononi na nafsini mwa rais.
Ukitumia makalio kufikiri ndio matatizo yake haya yaani ni kuandika ujinga tuwashamba sana hao wanyakyusa, bandari ya Dar es Salaam wala haiwahusu, wenyeji bandari yao wako kimya kistaarabu sijui wao wanyakyusa wanawashwa na nini, wanafiki wakubwa, wana lao jambo siyo bandari. Ila wajue nchi yetu iko strong watanyooka wote wapumbavu hao. Kuna wanasiasa wanawatumia vibaya maana nimeona wananchi wamevamia eneo la TARI wanaitwa ofisi ya mkuu wa wilaya akiwepo waziri wa kilimo wanasema wako busy, kuna watu wanawadanganya kwamba wasiitii serikali, siku yakiwakuta wasije kulialia km hao wapumbavu wanavyolialia sana sahivi kule mahabusu. Mara wagome kula, si waache kula kwa faida yao, au wakiamua wajifie huko. Rais aliwatahadharisha km hawajamwelewa labda watakuwa na rais wao, wasije shangaa wakikutana na magreda yanabomoa yale mabanda yao. kuna wanajiita machifu nao wanajikakamua kuposha wananchi, machifu wa nchi hii hawana mamlaka yoyote kazi yao ni kutambikia tu kwenye makabila yao, na kuna maaskofu wa mchongo kule Mbeya wanawadanganya wananchi wasiwatii viongozi wao, sijui wanatumia biblia gani maana biblia inatutaka kutii mamlaka maana mamlaka zote zatoka kwa Mungu.
Mkuu punguza hasiraUkitumia makalio kufikiri ndio matatizo yake haya yaani ni kuandika ujinga tu
Rostam alishamtaja kwa jina hadharani kuwa ni Mla Rushwa na walimhonga 2015 amkatae LowassaKama humwelewi Dr Slaa hajawhi nyamazia ufisadi wenu so hajutii!
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Anachekea chooni kama Slaa alivyokuwa anamcheka alivyokula BombaTundu Lissu anasemaje?
Halafu jamaa yupo proud kabisa na kaandika kaona kaweeeza, hopeless kabisaBado ndoo zinatumika kunyea mahabasu mpaka leo hii?!
Kuna Kesi iliyotingisha kama Ma Sheikh wa Uamsho ?Hata wafike 200 kama Serikali haina nia ya kuwaachia haitawaachia.
Mmesahau kesi ya Ugaidi ya Mbowe?
Mmesahau Mahakama zetu haziko huru
Pitieni hukumu ya hoja ya Mkataba wa bandari ya akina Mwabukusi muone.
Shida ya hii Nchi mihimili ya Bunge na Mahakama imemezwa na Mhimili ulijichimbia chini wa Serikali Kuu [emoji119]