Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

---
Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.

Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.

Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.

Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.
Hata wawe elfu 10,kamuulizeni Mbowe na kesi ya ugaidi
 
Hawa TLS si tumewapa hati ya kiwanja, hawana shukrani hata huko mahakamani waende kwa staha.
 
Hizo ndio tabia za watu wa mitandaoni
Jamaa Mzalendo
Haogopi
Anafaa kuwa Rais

Baadaya kukamatwa
Tuko pamoja na wewe
Wasizani wanakukomoe ndio ujasili unaongezeka
Mungu atakusimamia
Tuko nyuma yako
Hapo watu washakuacha
wa Tanzania wa Mitandaoni majasiri kuliko Raia wa Somalia na Ukraine

wana misemo sana ya kukutia moyo lakini sasa ukikanyaga Miwaya unabaki na familia yako

Mtoto wa Mzee Slaa ndio ana haingaika na Mwanasheria …wengine wamebaki ku post clip za wakili wake tu akilalamika
 
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

---
Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.

Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.

Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.

Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.
Mungu ameniambia maneno magum sana juu ya taifa , ila mpaka sasa nipo na msongo wa mawazo , nimekosa tafisiri mpaka sasa,

Kipindi cha Magu , mwishoni na mwanzoni mwa 2021, Niliwahi ambiwa tafuta mti mrefu kuliko yote tz , na nikiwa pale yapo maneno matatu ilitakiwa piga magoti pale kusema ,na kufuatiwa na maombi flani, niliumiza kichwa ,mpaka niliomba msaada hum jf kutoka kwa wakomavu wa imani bila kujali nini , sikupata msaada,

Ile fumbo nilikuaja kulijua badae sana, mwanzo sikuelewa kabisa

Ngoja nione hili, ni matumaini yangu Mungu wangu atanipa wepesi
 
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

---
Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.

Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.

Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.

Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.
Huu ni ushamba wa Kichadema kuamini kuwa na Mawakili wengi ndio kushinda kesi. Wanasahau msemo wa ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi! Ahahahahaha!!!!
 
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

---
Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.

Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.

Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.

Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.
Mawakili wengi sio msingi wa kushinda kesi
 
Kuna Kesi iliyotingisha kama Ma Sheikh wa Uamsho ?

kama masihara Wakakaa jela miaka ambayo Mimba ilitungwa hadi Mtoto akawa darasa la Pili ndio wakatoka na maisha yakaendelea kama kawaida
Sahihi kabisa

Serikali ndiyo itakayomaliza hii kesi sio Mawakili
 
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

---

Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.

Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.

Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.

Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.

Kwa hizi mahakama zinazopewa maagizo jinsi ya kutoa hukumu, hata mawakili wakienda milioni 2, bado usitarajie mahakama kufanya kama sheria inavyotaka.
 
Hata wafike 200 kama Serikali haina nia ya kuwaachia haitawaachia.

Mmesahau kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

Mmesahau Mahakama zetu haziko huru

Pitieni hukumu ya hoja ya Mkataba wa bandari ya akina Mwabukusi muone.

Shida ya hii Nchi mihimili ya Bunge na Mahakama imemezwa na Mhimili ulijichimbia chini wa Serikali Kuu [emoji119]
Sasa kama ni hivo unatoa ushauri gani?
 
Nguvu kubwa sana inatumika kuhakikisha Mwarabu anapewa Bandari zetu. Inaelekea kuwa serikali iko radhi watu wafe lakini Mwarabu achukue Bandari.
Wenzako wananyea ndoo wewe unakazania propaganda,,

Nyie ndio mliokuwa mnamwambia Slaa asijar mpo nyuma yake.
Mzee wa watu akajiropokea saiz anajuuta.
 
Rais yuko huu ya katiba, hivyo sheria na mamlaka zooote zinamtii..

Hata wangeungana mawakili wote nchini hawataweza. Hatma ya akina Dr. Slaa iko mikononi na nafsini mwa rais.
Hayo ni matokea ya Katika aliotuachia huyo baba wa taifa
 
Back
Top Bottom