Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

Wenzako wananyea ndoo wewe unakazania propaganda,,

Nyie ndio mliokuwa mnamwambia Slaa asijar mpo nyuma yake.
Mzee wa watu akajiropokea saiz anajuuta.
Sasa unachoongea ni nini endapo tayari mawakili zaidi ya 100 tayari wako tayari kuipinga serikali hii ya wezi?

Hili ni tukio ambalo linakwenda kuiaibisha CCM ,sio tu ndani ya nchi bali Duniani kote!
Hapo press zote kubwa Duniani pia zitakuwepo.
Wenye vichwa vidogo kama wewe mliojaa tamaa ndio hamlioni hilo.
 
Ipiganiwe Katiba mpya, katiba ya Sasa tuliyonayo imemfanya Rais wa Jamhuri kuwa Mungu.

Ije Katiba itakayo mpunguzia Majukumu Rais.

Rais anateua kila mtu kuanzia DED,DAS,DC,RAS,RC na kila nafasi yenye maaumzi ....haifai kuendelea nayo
Sawa
 
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

---

Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.

Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.

Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.

Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.
Polisi inayoua watu na kuwatuhumu ujambazi ndiyo hii hii inayoshughilikia haya mashtaka.

Polisi ni dimbwi la damu za wasio na hatia
 
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

---

Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.

Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.

Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.

Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.
Kwa hiyo kesi ngumu upande wenu.Mawakili wote wa nini.Acheni kulia kulia.
 
Hao mawakili hawana kazi ya kufanya, mi najiuliza mawakili wanafanyaga kazi gani ya uzallishaji, ni km wachawi kazi yao ni kuzalisha migogoro ili wapate chakula, nimekuja kuiona sheria ni fani ya laana. Wanatumia sheria kusumbua nchi, ili tusonge mbele kimaendeleo inatakiwa tupate Rais atakayewapuuza hawa wapumbavu. Eti mawakili 100, hata wangekuwa 1000 watabadilisha kosa?

Halafu sijaona jitu pumbavu km lile wakili la Dr. Slaa sijui linaitwa Mwakilima, ni km anashindana na serikali, eti tunawasubiri serikali kwa hamu ili tupambane? Wako pale kulinda uhalifu? namaaanisha uhaini. Serikali muwe very strong hawa watawayumbisha sana ikiwa ni pamoja na kuwachafua mbele za macho ya kimataifa hawana jema hawa, hawana uzalendo, wako tayari kuona nchi hii inaangamia kwa ajili ya matumbo yao na vibaraka wao. Wafinywe vizuri huko mahabusu warudi wakiwa wanajua serikali ni nani, wasitoke kabla ya 2025 hata km watashinda kesi. Wapumbavu kabisa wengine siyo raia huko hasa Mwabukusi, yule ana hamu ya kuiangamiza nchi yetu
Huu ni ukweli.
 
Kwa jinsi mama anavyoivuruga nchi kwa kuminya Uhuru wa maoni kwa watanganyika,atarajie mambo magumu mbele yake yatakayomfanya asimalize awamu yake
Kama hivi ndio kuminya uhuru wa maoni kwa wadanganyika, basi waendelee kuminywa tu wapori pori shenzy type.
 
Wenzako wananyea ndoo wewe unakazania propaganda,,

Nyie ndio mliokuwa mnamwambia Slaa asijar mpo nyuma yake.
Mzee wa watu akajiropokea saiz anajuuta.
Ww unafikir Dr Slaa hakujua kinachoenda kumtokea? Kwahiyo unajifanya mwerevu kuliko Slaa? Slaa, Mdude huko lupango sio pageni kwao
 
Wenzako wananyea ndoo wewe unakazania propaganda,,

Nyie ndio mliokuwa mnamwambia Slaa asijar mpo nyuma yake.
Mzee wa watu akajiropokea saiz anajuuta.
Wewe hata kituoni haujawahi kaa umekariri eti wananyea ndo, central police kuna mpaka mabafu uongelea ndoo ya kunyea...
 
Ipiganiwe Katiba mpya, katiba ya Sasa tuliyonayo imemfanya Rais wa Jamhuri kuwa Mungu.

Ije Katiba itakayo mpunguzia Majukumu Rais.

Rais anateua kila mtu kuanzia DED,DAS,DC,RAS,RC na kila nafasi yenye maaumzi ....haifai kuendelea nayo
Ni katiba ya hovyo sana kwa maendeleo ya Taifa
 
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.

Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .

---

Zaidi ya mawakili 100 kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo TLS wanatarajia kuungana na mawakili watatu kumtetea Balozi Dk Willibrod Slaa na wenzake wawili katika kesi ya uahaini wanayotuhumiwa nayo.

Akizungumza nje ya Mahakama Wakili Philip Mwakilima anayewatetea Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali amesema mawakili hao wameshaanza kuwasili Jijini Mbeya kwa ajili ya kesi hiyo.

Hata hivyo watuhumiwa hao wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya ikiwa ni siku ya nne bila kufikishwa mahakamani kwa kesi ya uhaini wanayotuhumiwa nayo.

Mwakilima amesema kwa mujibu wa sheria watuhumiwa walipaswa kufikishwa mahakamani leo lakini hawajafikishwa na wanakusudia kufungua kesi kwa lengo la kuiomba Mahakama imlazinishe Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwafikisha mahakamani au kuwaachilia endapo watabaki wakiwashikilia.
""NDONDOÑDO SI CHURURU""
 
Back
Top Bottom