Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

Kuweni makini wasije wakapigwa Lithium, kesi ni plan B.
Defendant ana plan Kibao
 
Hata wafike 200 kama Serikali haina nia ya kuwaachia haitawaachia.

Mmesahau kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

Mmesahau Mahakama zetu haziko huru

Pitieni hukumu ya hoja ya Mkataba wa bandari ya akina Mwabukusi muone.

Shida ya hii Nchi mihimili ya Bunge na Mahakama imemezwa na Mhimili ulijichimbia chini wa Serikali Kuu πŸ™Œ
 
Mbeya mna mzuka mpaka mbaboaπŸ˜†πŸ˜†
 
Rais yuko huu ya katiba, hivyo sheria na mamlaka zooote zinamtii..

Hata wangeungana mawakili wote nchini hawataweza. Hatma ya akina Dr. Slaa iko mikononi na nafsini mwa rais.
 
Ushauri wa kiboya huu. Kwa kiongozi ngazi ya Ubalozi kutishia kupindua nchi yako ni uhaini uliopotiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…