Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila baharia mwenzetu amekosea sana maana makubaliano yetu ilikuwa kuwachoma wakiwa ndani ya nyumba tena usiku wa manane ili kupisha harakati zingine za kutoroka na kupoteza ushahidi
Ametuangusha sana katika hili.
 
Wanaume wenyewe tupo wachache ila bado mnataka kutupunguza.. lol
 
Wameona hakuna namna bora watufanye ndafu tu?
 
Halafu ana mabega wakawaka
 
Hivi Yule aliyekuwa Mama na Watoto wawili huko Masaki ni Kabila Gani? La Kuua ni Kabila basi na Yule houseboy katili ni Mchaga?
s
 
Imekuwa fasheni sasa
 
Wanaume si mmekataa kuishi na sisi kwa akili!?

Mlidhani Mungu aliyewaambia muishi na wanawake kwa akili anatania eeeπŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£
Bado hatujajua ni akili zipi hizo
 
Kuna mmoja wa kihaya leo amenambia yule aliyechoma Moto makabe ana akili sana ... nimemwangalia nikajua huyu mmmh
 
Somo la kununua fire extinguisher nadhani halikueleweka.

Ila huyo Mkurya lazima mama yake atakua mchaga.

Siku hizi ukipiga tukio tu lazima tujue kabila lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…