Ilikuwa ni awamu ya wanyongeKuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami..ukienda Yombo kuna lami mitaani Tu .huko Buza Hadi vibarazani kuna lami...Ukifika mbezi beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda Mbweni JKT angalau kuna lami za mtaani kiasi lakini mbezi beach vumbi vumbi.....yaani Manzese Hadi mto umepigwa zege.....
Kuna mtu anajua why???
Mbona huo mradi umeacha Kigamboni?
Imesaidia kuyapa hadhi kidogo baadhi ya maeneoSasa watu wenye kipato cha chini wanahitaji lami au kuongezewa kipato??
Mbweni iko Jimbo gani Kamanda?Kawe ilikuwa chini ya upinzani wakati wa miradi ya barabara...
Pili, mradi wa ujenzi wa barabara ulilenga baadhi ya maeneo tu na mengi ni yale yenye watu wa kipato cha chini...
Mbweni iko Jimbo gani Kamanda?
Kama ilivyokua kibamba,jimbo la kibamba ni kituko sijui kama lina mbunge lile jimbo!Kawe ilikuwa chini ya upinzani wakati wa miradi ya barabara...
Pili, mradi wa ujenzi wa barabara ulilenga baadhi ya maeneo tu na mengi ni yale yenye watu wa kipato cha chini...
Watu wako tayari kubomolewa kupisha lamiKuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami..ukienda Yombo kuna lami mitaani Tu .huko Buza Hadi vibarazani kuna lami...Ukifika mbezi beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda Mbweni JKT angalau kuna lami za mtaani kiasi lakini mbezi beach vumbi vumbi.....yaani Manzese Hadi mto umepigwa zege.....
Kuna mtu anajua why???
Kumbee we jamaa kiazi kabisa. Hujui barabara zikiwa nzuri biashara inafanyika vizuri na hivyo kuongeza kipato. Ndio maana nimeona unasupport suala la bandari bila kujua mkataba umeandikwa niniSasa watu wenye kipato cha chini wanahitaji lami au kuongezewa kipato??
Kigamboni iko vizuri zaidi ya kibamba mkuu,kibamba ukiondoa moro road huko ndani ndani hamna barabara ya kueleweka,sasa kipindi cha mvua na udongo ule wa mfinyazi balaa lake linakua kubwa,ukija kwenye issue ya upatikanaji wa maji salama,kuna baadhi ya maeneo bado wanatumia maji ya mifereji,kwa dar hamna jimbo duni kama kibambaKibamba imesahaulika kama Kigamboni??
Mbweni hujui ni kwa Samia? Kuna sehemu wanaita Ubungo...mbweni lami kila mahali.Kuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami..ukienda Yombo kuna lami mitaani Tu .huko Buza Hadi vibarazani kuna lami...Ukifika mbezi beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda Mbweni JKT angalau kuna lami za mtaani kiasi lakini mbezi beach vumbi vumbi.....yaani Manzese Hadi mto umepigwa zege.....
Kuna mtu anajua why???