Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

Mbweni lami imetapakaa sababu SS ana mji
 
Hayo maeneo watu walisahaulika sana kwa huduma nyingi. JPM akawapelekea maji, barabara zenye taa na zahanati.

Na huko ndio linatoka kundi kubwa la wapiga kura. Kisha mtu anakuambia JPM aliiba kura.
Ikiwa unazungumzia mradi wa DMDP ulikuwepo tangu enzi ya JK, implementation ilianza mwaka 2015 (kabla uchaguzi)
 
Umefika mbweni lini?
 
Ikiwa unazungumzia mradi wa DMDP ulikuwepo tangu enzi ya JK, implementation ilianza mwaka 2015 (kabla uchaguzi)
Haturuhusiwi kumtaja JK wala Samia kwenye miradi....miradi ina mwenyewe 😅
 
wakazi wa maeneo hayo si wachange tu pesa zao...waweke barabara za zege
 
Mbezi beach hakuna lami wakati nyamalapa,luguru,mwaumisisi,kidulya Hadi sapiwi ni lami???huu Ni utani aiseee
 
Yaani sijui nani kajamba huko. Yaani wameachwa na mabangaloo na magorofa yao. Magufuli alijua kutoa kipaumbele kwa wananchi wa hali ya chini. Ila utawala huu wa wapigaji sijui kama hela zitafika kwa barabara za mitaa yoyote😂😂
 
Haturuhusiwi kumtaja JK wala Samia kwenye miradi....miradi ina mwenyewe 😅
Bahati mbaya kwao maana tulikuwepo na tuliona jinsi mambo yalivyokuwa. Hatukatai kwamba JPM alifanya vitu lakini tena asipewe credit kwa ambavyo siyo vyake. Wenzake kabla pia walijenga barabara na madaraja na kadhalika.
 
Hayo maeneo watu walisahaulika sana kwa huduma nyingi. JPM akawapelekea maji, barabara zenye taa na zahanati.

Na huko ndio linatoka kundi kubwa la wapiga kura. Kisha mtu anakuambia JPM aliiba kura.
Waliiba kura 100%, na pesa ni za walipa kodi sio JPM, kuwa chawa sio lazima ujitoe akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…