Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,154
Reaction score
7,083
Habari za muda huu JamiiForums.
Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi.

1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime).
20200905_173424.jpg
20200905_173426.jpg

2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
20211205_082913.jpg

20211205_082932.jpg

20211205_082843.jpg

20211205_083336.jpg

20211205_083413.jpg

20211205_083401.jpg
 
Sio uzio tu wamepanda na miti Jana,sema wamachinga hawasikii aise Ile saa mbili usiku nimepita yani walishajazana kama wote. Pale patawasumbua labda kifanyike kitu ambacho kitakuwa funzo.
Yaah hata mimi niliwaona, sema wale wauza mbogamboga, vitunguu, nyanya, na makorokoro kama hayo nilitamani sana waachwe maana walikuwa wanatusave sana.
 
Yaah hata mimi niliwaona, sema wale wauza mbogamboga, vitunguu, nyanya, na makorokoro kama hayo nilitamani sana waachwe maana walikuwa wanatusave sana.
Sasa vipi hiyo miti iliyopandwa? Vipi wakiruhusiwa hao wa mboga na matunda unadhani wa mitumba watakubali? Pale Mbezi ni changamoto kiukweli Ila kwa mchana jana nilipita kwa raha sana.
 
Sasa vipi hiyo miti iliyopandwa? Vipi wakiruhusiwa hao wa mboga na matunda unadhani wa mitumba watakubali? Pale Mbezi ni changamoto kiukweli Ila kwa mchana jana nilipita kwa raha sana.
Hivi kwa hapo mbezi mwisho wametengewa eneo wapi?
 
Habari za muda huu JamiiForums.
Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi.

1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime).View attachment 2033537View attachment 2033538
2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.View attachment 2033541

View attachment 2033542

View attachment 2033544

View attachment 2033545

View attachment 2033547

View attachment 2033549
Siku zote Jana na leo haziwi Sana mwezi huu na mwezi huu au mwaka huu au mwaka Jana hailingani so sioni ajabu ikizingatia maisha ni km safari tu
 
Back
Top Bottom