Kilijengwa kisoko kidogo sana jirani na Magufuli Stand. Ndo hapo wanapowaambia waende ila ni kidogo mana kinauwezo wa ku-accomodate walau wafanyabiashara 500 napo kwa kujibana sana. Changamoto iliyopo pale hakuna wateja kwani pamekaa kushoto. Pia bado hapajawekwa umeme so uusiku ni changamoto kwa usalama wa mizigo yao. Ndo CCM hiyo wamethubutu,wameweza na wanasonga mbele.Hivi kwa hapo mbezi mwisho wametengewa eneo wapi?