Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

Yaah hata mimi niliwaona, sema wale wauza mbogamboga, vitunguu, nyanya, na makorokoro kama hayo nilitamani sana waachwe maana walikuwa wanatusave sana.
Sheria msumeno unakata mbele na nyuma😅 mboga utafata sokoni
 
Wanajaribu kumchafua mtu ambaye alihakikisha kila mchapa kazi anafaidi haki yake kikamilifu ya kupata huduma za kijamii.
Tanzania haijawahi kua na dictatorial regime.
Magufuli kafanya kazi kubwa sana nchi hii.
Ni mpuuzi tu ndie Haoni.
 
Hata sijaelewa kitu naona ujenzi holela tu na Barabara zisizo na viwango
 
Tumependezesha jiji Ila mamia yawatu wamepoteza ajira zao
Zile siyo ajira, bali ni upuuzi. Jamii iliyostaarabika haiwezi kukubali kuishi vile, Muhimu wapangwe sehemu mpya na ambazo zina huduma walizoahidiwa ili wananchi wawafuate huko. Wenye chuki na awamu ya 6 mlichotamani kitokee kwa vijana wale kufanya vurugu hakijatokea, mnabaki kuongea ongea ujinga kwa aibu kubwa.
 
Kuna u-Dikteta wa aina mbili duniani. The Dictatorship of the Elites whereby only THE FEW enjoys the national cake and The Dictatorship of the Proletariat whereby THE MAJORITY enjoys the national cake.

Kama Magufuli alikuwa dikteta, twambie kwa kutumia mukhtadha wa picha zilizopo kwenye hii post Hayati Rais Magufuli alikuwa dikteta wa aina gani? (Sidhani kama kuna mwenye ubavu wa kujibu).
 
Jiandae kununua vifaa vya IST yako tuko mbioni kukufikia hapo kwako[emoji28]
Bahati nzuri sina IST. Halafu point to note ukija kuiba hapa ujiandae ukapambe nyumbani kwako maana wa kumuuzia utakosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati nzuri sina IST. Halafu point to note ukija kuiba hapa ujiandae ukapambe nyumbani kwako maana wa kumuuzia utakosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahio unatembelea bedford? Hako ka nissan dualis ndio kamoto sana sokoni 😅 bado hujakwepa msala labda uvunje nazi😅
 
Kwahio unatembelea bedford? Hako ka nissan dualis ndio kamoto sana sokoni [emoji28] bado hujakwepa msala labda uvunje nazi[emoji28]
Peugeot 404 unamuuzia nan hapo bado vw beetle oldest model [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie wenye mishahara wenzenu mnatuona takataka tu,haya bwana.
Nchi ina furusa nyingi sana sema tunataka kukaa Mjini tu. Nendeni Handeni watu wanalima sana, nenda Mkuranga uone matikiti yanavyolimwa.

TATIZO NIKUTAKA UJIKO KUWA UNAISHI DAR
 
CCM imepoteza dhana ya utu kwa wafanyibiashara wadogo machinga. kusifia kitendo hicho ni kukosa utu wa kibinaadam
Kila siku mnaita ndugu zenu kutoka Rombo eti kuna kaeneo barabarani ka kuweka tigo pesa, njoo na Meza yako tu na mwamvuli kujikinga na jua bwashee
 
Uzi mzuri unafaa upelekwe jukwaa lake maalumu ambalo ni JamiiPhotos Forum.
 
Back
Top Bottom